RAIS Samia anunua kila goli la Yanga Milioni 20, atoa ndege ya kwenda na kurudi

Filed in Michezo by on 18/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA

VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

RAIS Samia anunua kila goli la Yanga Milioni 20, atoa ndege ya kwenda na kurudi

RAIS Samia anunua kila goli la Yanga Milioni 20, atoa ndege ya kwenda na kurudi

RAIS Samia anunua kila goli la Yanga Milioni 20, atoa ndege ya kwenda na kurudi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutoa zawadi ya Shilingi Milioni 20 kwa kila goli litakalofungwa na Young Africans kwenye mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation)

Rais Samia ametoa ahadi hiyo leo May 18, 2023 katika hafla ya Uzinduzi wa mradi Ujenzi wa Minara 21 ya Kampuni ya AZAM (DTT) iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.RAIS Samia anunua kila goli la Yanga Milioni 20, atoa ndege ya kwenda na kurudi

“Awali nilikuwa nikitoka Milioni 5 kwa kila goli, na baadae nikaongeza ikawa 10, sasa kila goli ni Shilingi Milioni 20 kwa matokeo ya ushindi” amesema RAIS Samia.

Ikumbukwe kuwa kwenye Nusu Fainali Yanga ilivuna Tsh Milioni 40 kutokana na mabao manne waliyofunga katika hatua hiyo

Aidha Rais Dk Samia aliongeza dau la bonasi kutoka Tsh Milioni 5 hatua ya makundi, Tsh Milioni 10 Nusu Fainali na sasa ni Tsh Milioni 20 kwenye Fainali.

Aidha Rais Samia ameahidi kutoa Ndege itakayowasafirisha Wachezaji, Viongozi Pamoja na Mashabiki kwenda kwenye mchezo wa Fainali na Kuwarudisha.

RAIS Samia anunua kila goli la Yanga Milioni 20, atoa ndege ya kwenda na kurudi

RAIS Samia anunua kila goli la Yanga Milioni 20, atoa ndege ya kwenda na kurudi

Klabu hiyo inatatajiwa kucheza Fainali hiyo dhidi ya USM Alger ya Algeria, ambapo mchezo wa mkondo wa kwanza utafanyika May 28 Jijini Dar es Salaam na kurudiana June 03, 2023 nchini Algeria.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *