Nijuze Habari App

RASMI Jonas Mkude atambulishwa Young Africans

Filed in Michezo, New, Usajili by on 12/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

RASMI Jonas Mkude atambulishwa Young Africans

RASMI Jonas Mkude atambulishwa Young Africans, Klabu ya Young Africans imemtambulisha kiungo mkabaji, Jonas Gerlad Mkude kuwa mchezaji wao mpya kuelekea msimu mpya wa 2023/2024.

Mkude anatua Yanga kama Mchezaji huru akitokea Simba SC ambayo aliitumikia kwa kwa miaka 13 toka alipojiunga nayo 2010 .

Mkude ameondoka Simba SC baada ya kuitumikia kwa miaka 13 toka alipojiunga nayo 2010.

Simba iliachana na Mkude ikiwa ni sehemu ya kujipanga upya kwa msimu ujao wa 2023/24 baada ya kupoteza makombe mengi kwa misimu miwili mfululizo.

RASMI Jonas Mkude atambulishwa Young Africans, Jonas Mkude atambulishwa Yanga SC, Jonas Gerlad Mkude Yanga, Jonas Gerlad Mkude atua Yanga sc, Jonas Mkude Yanga SC, Jonas Mkude Young Africans, Jonas Mkude Mchezaji mpya wa Young Africans,Yanga yamsajili Jonas Mkude, Yanga yamsajili Jonas Mkude kutoka SC Simba,Jonas Mkude Nungu Nungu Yanga SC, Jonas Mkude Nungu Nungu Young Africans SC.Usajili wa Mkude unaenda kuongeza ushindani kwenye kiungo cha Yanga, ambacho yupo Mganda Khalid Aucho na Mcongomani Yanick Bangala na Zawadi Mauya.

Yanga imemsajili Mkude baada ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kujiridhisha kuwa ni mchezaji anayeweza kuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi chake cha Msimu ujao wa 2023/2024.

Jonas Mkude anakuwa Mchezaji mpya wa tatu wa Yanga SC kuelekea msimu mpya wa 2023/2024 baada ya usajili wa Beki, Gift Fred Giggy kutoka SC Villa ya kwao Uganda na kiungo Mshambuliaji, Nickson Clement Kibabage kutoka Singida Fountain Gate FC ya Singida.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

RASMI Jonas Mkude atambulishwa Young Africans, Jonas Mkude atambulishwa Yanga SC, Jonas Gerlad Mkude Yanga, Jonas Gerlad Mkude atua Yanga sc, Jonas Mkude Yanga SC, Jonas Mkude Young Africans, Jonas Mkude Mchezaji mpya wa Young Africans,Yanga yamsajili Jonas Mkude, Yanga yamsajili Jonas Mkude kutoka SC Simba,Jonas Mkude Nungu Nungu Yanga SC, Jonas Mkude Nungu Nungu Young Africans SC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *