RASMI: Yanga yaachana na Kocha Nasreddine Nabi
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
RASMI: Yanga yaachana na Kocha Nasreddine Nabi

RASMI: Yanga yaachana na Kocha Nasreddine Nabi
RASMI: Yanga yaachana na Kocha Nasreddine Nabi, Uongozi wa Young Africans Sports Club umethibitisha kufikia makubaliano ya kuachana na Kocha wao, Nasreddine Nabi baada va kocha huyo kuomba kutoongeza mkataba mpya.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi huo kupitia Idara ya Habari na Mawasiliano, Juni 14, 2023 ambapo imefafanua kuwa, Mkataba wa Kocha Nasreddine Nabi na Klabu ya Young Africans Sports Club umemalizika mwisho wa msimu huu.
Baada ya kumalizika kwa mkataba huo, uongozi wa Young Africans Sports Club ulikutana na Kocha Nabi kwaajili ya mazungumzo ya kusaini mkataba mpya, lakini Nabi aliomba kuondoka ili akapate changamoto mpya, imesema taarifa ya Young Africans.
Akiwa Kocha Mkuu wa Young Africans, Nasreddine Nabi amefanikiwa kutwaa mataji mawili ya Ligi Kuu ya NBC, mataji mawili ya Kombe la Shirikisho la Azam, mataji mawili ya Ngao ya Jamii na kuifikisha Timu yetu hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF mwaka huu wa 2023.
Uongozi wa Young Africans umemshukuru Kocha Nabi kwa mchango wake katika kipindi chote alichofanya kazi kwenye timu hiyo na unamtakia kila la kheri katika safari yake.
Aidha Young Africans imesema kuwa imeanza mchakato wa kumpata Kocha mpya atakayechukua nafasi ya Kocha Nasreddine Nabi.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
RASMI: Yanga yaachana na Kocha Nasreddine Nabi, Nabi aondoka Yanga, Nabi aachana na Yanga rasmi, Yanga yaachana na Kocha Nasreddine Nabi rasmi, Kocha Nabi aondoka Yanga Sc.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Kocha Nabi aondoka Yanga Sc., Nabi aachana na Yanga rasmi, Nabi aondoka Yanga, RASMI: Yanga yaachana na Kocha Nasreddine Nabi, Yanga yaachana na Kocha Nasreddine Nabi rasmi