RATIBA Kamili ya MHOLA MiaMia CUP 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


RATIBA Kamili ya MHOLA MiaMia CUP 2023

RATIBA Kamili ya MHOLA MiaMia CUP 2023
Mashindano ya MHOLA MiaMia CUP mwaka 2023 yanatarajiwa kuanza rasmi tarehe 2 June 2023 kwenye Uwanja wa CCM Zimbihile uliopo Wilayani Muleba Mkoani Kagera.
Aidha Bingwa wa Mashindano hayo msimu huu 2023 ataondoka na Milioni 5 ambayo ndiyo zawadi ya Mshindi wa kwanza kwenye MHOLA MiaMia Cup 2023.

RATIBA Kamili ya MHOLA MiaMia CUP 2023
Timu zitakazoshiriki MHOLA MiaMia CUP 2023 katika Makundi.
πKundi A
1:Ndangala
2:Mganza Academy
3:Lunyinya FC
4:LIKE FC
πKundi B
1:Muleba Heroes
2:Biirabo
3:Nshambya
4:Kakindo
πKundi C
1:Chipukizi Boys
2:Kabagunda
3:Yetu Afrika
4:Bugala
πKundi D
1:Rama Sports
2:Lunazi FC
3:Katoke FC
4: Magata – Karutanga

RATIBA Kamili ya MHOLA MiaMia CUP 2023
RATIBA Kamili ya MHOLA MiaMia Cup 2023
π02/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Ndangala FC vs Mganza Academy
π03/05/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Muleba Heroes vs Biirabo
π04/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Chipukizi Boys vs Kabagunda
π05/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Rama Sports vs Lunazi FC
π06/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Lunyinya FC vs LIKE FC
π07/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Nshambya vs Kakindo
π08/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Yetu Afrika vs Bugala
π09/06/MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Katoke FC vs Magata – Karutanga
π10/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Mganza Academy vs Lunyinya FC
π11/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Biirabo vs Nshambya
π12/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Kabagunda vs Yetu Afrika
π13/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Lunazi FC vs Katoke FC
π14/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 LIKE FC vs Ndangala
π15/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Kakindo vs Muleba Heroes
π16/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Bugala FC vs Chipukizi Boys
π17/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Magata – Karutanga vs Rama Sports
π18/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Mganza Academy vs LIKE FC
π19/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Muleba Heroes vs Nshambya
π20/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Chipukizi Boys vs Yetu Afrika
π21/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Rama Sports vs Katoke FC
π22/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Ndangala FC vs Lunyinya FC
π23/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Biirabo vs Kakindo
π24/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Kabagunda vs Bugala
π25/06/2023 MHOLA MiaMia Cup 2023
16:00 Magata – Karutanga vs Lunazi
Baada ya kukamilika kwa raundi hii, timu mbili za juu kila kundi zitafuzu hatua ya Robo Fainali ambavyo ratiba yake itapangwa.
Baada ya Kukamilika kwa michezo ya Robo Fainali, timu nne zitafuzu hatua ya Nusu Fainali na hatimaye Fainali ambayo nayo ratiba yake itapangwa.

Nijuze TV App ni Mdhamini wa MHOLA MiaMia CUP 2023
Nijuze Habari Kupitia Nijuze TV App ni Mdhamini wa Mashindano hayo (MHOLA MiaMia CUP 2023) Kupitia Application ya Nijuze TV inayopatikana Playstore Utaweza Kutazama Mechi zote LIVE kwenye Simu yako bila Malipo Popote Duniani.
Donwload Nijuze TV App Utazame Mechi zote LIVE kwenye Simu yako.
Pia unaweza kutembelea nijuzempya.com ili kupata Habari za Michezo na Usajili, Magazeti ya Kila Siku asubuhi, Nafasi za Kazi Kila Siku, Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani kila Siku pamoja na Makala Mbali Mbali.
PIA UNAWEZAΒ KUSOMAπ
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.