Nijuze Habari

RATIBA mechi za mtoano Mtibwa Sugar FC vs Tanzania Prisons FC

Filed in Michezo by on 01/07/2022 0 Comments

RATIBA mechi za mtoano Mtibwa Sugar FC vs Tanzania Prisons FCMchezo wa kwanza utachezwa Jumapili hii July 03,2022 kwenye uwanja wa CCM Sokoine Jijini Mbeya, Tanzania Prisons wakiwa wenyeji na mchezo wa marudiano utachezwa Jumatano kwenye uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro Mtibwa wakiwa wenyeji.

Nijuze Habari Application

RATIBA mechi za mtoano Mtibwa Sugar FC vs Tanzania Prisons FC

RATIBA mechi za mtoano Mtibwa Sugar FC vs Tanzania Prisons FCMchezo wa kwanza utachezwa Jumapili hii July 03,2022 kwenye uwanja wa CCM Sokoine Jijini Mbeya, Tanzania Prisons wakiwa wenyeji na mchezo wa marudiano utachezwa Jumatano kwenye uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro Mtibwa wakiwa wenyeji.

Timu itakayoshinda kwenye michezo yote miwili itabaki Ligi Kuu na itakayofungwa itakwenda kucheza na JKT Tanzania FC kutoka Championship na mshindi wa jumla ndiye atacheza Ligi Kuu msimu ujao wa 2022/2023.

Mchezo wa Kwanza dhidi ya JKT Tanzania FC umepngwa kuchezwa July 09,2022 kwenye Uwanja wa Meja Isamuhyo Mbweni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na mchezo wa marudiano utachezwa July 13, 2022 CCM Sokoine Mbeya au Manungu, Morogoro.

telegram Nijuze Habari

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.