Nijuze Habari

Ratiba ya Fainali Mapinduzi Cup 2022

Filed in Michezo by on 12/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

Ratiba ya Fainali Mapinduzi Cup 2022

Klabu ya Simba SC ambao ni Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) inatarajiwa kushuka dimbani kesho kucheza na Azam FC kwenye Mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup 2022 Visiwani Zanzibar.

Mchezo huo wa unarajiwa kuchezwa kesho Alhamisi ya January 13,2022 Saa 20:15 Kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Zanzibar.

Aidha Bingwa wa Michuano hiyo safari hii atapata 25M, tofauti na msimu uliopita ambapo Bingwa alipata 15M na Mshindi wa pili atapata 20M, tofauti na msimu uliopita ambapo alipata 10M.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.