Ratiba ya Mechi za Simba mwezi March,2022
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Ratiba ya Mechi za Simba mwezi March,2022
Simba SC, Simba Sports Club, Msimbazi Dar es salaam, NBC Premier League, Ligi Kuu Tanzania Bara, ASES Mimosas vs Simba SC, RB Berkane vs Simba SC, US Gendarmerie Nationale vs Simba SC, Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho Barani Afrika, CAF Confederation Cup, CCC, Simba SC vs US Gendarmerie Nationale, Simba SC vs ASES Mimosas, Simba SC vs RS Berkane.
BAADA ya kurejea nchini wakitokwa nchini Morocc kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane, wakipoteza kwa mabao 2-0 Simba SC wanatatajiwa kuwa na michezo mitano mwezi huu wa tatu.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Mabingwa hao Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanarejea kwenye Ligi Ijumaa hii ya March 04,2022 wakiwa na jukumu la kutetea ubingwa wao kwa msimu wa tano mfululizo dhidi ya Biashara United FC.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa moja usiku.
Siku tatu baadae, Mabingwa hao watarejea tena dimba la Mkapa kuikabili Dodoma Jiji FC March 07,2022.
Aidha itakuwa mara yao ya kwanza Simba SC kukutana na aliyekuwa kocha wao wa zamani Masoud Irambona Djuma ambaye kwa sasa anainoa Dodoma Jiji FC.
Baada ya mechi hizo Simba inarejea kwenye ratiba ya kombe la Shirikisho ambapo March 13,2022 watarudi uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili RS Berkane ya Morocco.
Mabingwa watapaa mpaka Ivory Coast kuikabili Asec Mimosas March 20 na baadae kurejea Tanzania kwaajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania FC, mchezo ambao utapigwa March 27 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
