LIVE AL AHLY VS WYDAD AC Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 3:00 Usiku. 

RATIBA ya Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2022/2023

Filed in Michezo by on 30/04/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

RATIBA ya Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2022/2023

RATIBA ya Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2022/2023, Ratiba ya Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2023,ratiba Nusu Fainali ASFC 2023,Ratiba Nusu Fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports.

RATIBA ya Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2022/2023, Ratiba ya Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2023,ratiba Nusu Fainali ASFC 2023,Ratiba Nusu Fainali Kombe la Shirikisho la Azam Sports,Azam Sports Federation Cup 2022/2023, Teams Qualified Quarter Final Azam Sports Federation Cup 2022/2023,Teams Qualified Semi Final Azam Sports Federation Cup 2022/2023,Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2022/2023

RATIBA ya Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2022/2023

RATIBA ya Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2022/2023, SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka wazi ratiba ya Mechi za
Nusu Fainali Kombe la Shirikisho la
Azam Sports Federation Cup 2022/2023 (ASFC).

Mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali kati ya Azam FC dhidi ya Simba umepangwa kupigwa May 07,2023 kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.

Na Mchezo wa Pili kati ya Singida Big Stars dhidi ya Yanga SC, mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa LITI Mkoani Singida ambapo tarehe ya mchezo husika iyapangwa hapo baadae.

Klabu ya Simba SC ilifuzu hatua hiyo baada ya kuiondosha Ihefu SC, huku Azam FC ikifuzu kwa kuiondosha Mtibwa Sugar.

Yanga wao walifuzu hatua hiyo ya Nusu Fainali baada ya kuiondosha Geita Gold, huku Singida Big Stars ikifuzu kwa kuiondosha Mbeya City ya Mbeya.

Mechi ya Fainali itapigwa kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani Mkoani Tanga.

Azam Sports Federation Cup 2022/2023, Teams Qualified Quarter Final Azam Sports Federation Cup 2022/2023,Teams Qualified Semi Final Azam Sports Federation Cup 2022/2023,Nusu Fainali Azam Sports Federation Cup 2022/2023

UNAWEZA PIA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *