Nijuze Habari App

RATIBA ya safari ya Simba nchini Uturuki

Filed in Michezo, New by on 10/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

RATIBA ya safari ya Simba nchini Uturuki

RATIBA ya safari ya Simba nchini Uturuki, Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka nchini kesho Jumanne Julai 11,2023 kuelekea Uturuki kwaajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/2024.

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu hiyo, Ahmed Ally amesema kuwa Simba itaondoka nchini ikiwa na Wachezaji wake wote waliosajiliwa katika dirisha hili na wale wengine wanaoendelea kikosini kutoka msimu uliopita wa 2022/2023.

Ahmed Ally amebainisha kuwa Simba itaweka kambi ya wiki tatu huko Uturuki kwaajili ya Pre-season na itarejea nchini August 01,2023.

RATIBA ya safari ya Simba nchini Uturuki“Tutaweka kambi ya wiki tatu hadi August 01 tutarejea nchini kwaajili ya maandalizi ya Simba Day. Tukiwa Uturuki tunatarajiwa kucheza mechi tatu zakujipima nguvu dhidi ya timu za huko Ulaya”

“Kocha Robertinho tayari amewasili na benchi lake lote la ufundi pia wote wapo tayari kwa safari,” alisema Ahmed

Ahmed amebainisha kuwa bado Simba haijakamilisha utambulisho wa Wachezaji, wengine watatambulishwa wakati wowote kabla ya timu kuondoka hapo kesho.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *