Robertinho, Ntibazonkiza watwaa tuzo Ligi Kuu ya NBC May 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Robertinho, Ntibazonkiza watwaa tuzo Ligi Kuu ya NBC May 2023

Robertinho, Ntibazonkiza watwaa tuzo Ligi Kuu ya NBC May 2023
Robertinho, Ntibazonkiza watwaa tuzo Ligi Kuu ya NBC May 2023, KOCHA Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC wa Mwezi May 2023.
Robertinho ametwaa Tuzo hiyo baada ya kuwashinda Melis Medo wa Dodoma Jiji na Daniel Cadena wa Azam FC ambao aliingia nao Fainali ya kinyang’anyiro hicho.
Robertinho aliiwezesha Simba kushinda mechi tatu za Mwezi huo May ambazo zilikuwa dhidi ya Ruvu Shooting, Polisi Tanzania, Coastal Union na sare moja dhidi ya Namungo FC.
Aidha Kamati hiyo ya Tuzo imemchagua Saido Ntibazonkiza kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi May wa Ligi Kuu ya NBC.
Katika mwezi May, Ntibazonkiza amefunga mabao saba na kusaidia kupatikana kwa mabao mengine mawili.
Ntibazonkiza ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda Prince Dube wa Azam FC na Charles Ilamfia wa Mtibwa Sugar alioingia nao Fainali ya kinyang’anyiro hicho.
Pia Kamati ya Tuzo imemchagua Meneja wa Uwanja wa Azam Complex, Amir Juma kuwa Meneja Bora wa Uwanja kwa mwezi May, kutokana na kufanya vizuri katika menejimenti ya matukio ya michezo pamoja na masuala yanayohusu miundombinu Uwanjani.

Saido Ntibazonkiza – Mchezaji Bora Ligi Kuu ya NBC, Mei 2023.

Roberto Oliveira – Kocha Bora Ligi Kuu ya NBC, Mei 2023.

Amir Juma – Meneja Bora wa Uwanja, Mei 2023. Uwanja wa Azam Complex, DSM
Robertinho, Ntibazonkiza watwaa tuzo Ligi Kuu ya NBC May 2023,Tuzo za Mwezi, Tuzo za TFF, ligikuu, tanfootball, championship_tz, firstleague_tz, nbc_tanzania, azamtvsports, tbc_online
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: azamtvsports, championship_tz, firstleague_tz, ligikuu, nbc_tanzania, Ntibazonkiza watwaa tuzo Ligi Kuu ya NBC May 2023, Robertinho, tanfootball, tbc_online, Tuzo za Mwezi, Tuzo za TFF