Rumuli FM 98.5 Sasa inapatikana kwenye Nijuze TV App

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


Rumuli FM 98.5 Sasa inapatikana kwenye Nijuze TV App
Rumuli FM 98.5 Sasa inapatikana kwenye Nijuze TV App,Rumuli FM 98.5 Bukoba,Rumuli FM 98.5,Redio Rumuli FM,Radio Rumuli FM,Radio Rumuli Bukoba.
Rumuli FM 98.5 Sasa inapatikana kwenye Nijuze TV App RADIO RUMULI FM 98.5 BUKOBA ni redio ya Kikristo iliyopo Manispaa ya Bukoba, iliyosajiliwa nchini Tanzania na kupata Leseni yenye namba TCRA/CSRBFADL/23/2019 kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuanza kurusha matangazo yake yenye maudhui ya Kikristo, kutoka viunga vya vilima vya Ihungo tangu mwanzoni mwa 2019.
Radio Rumuli inamilikiwa na shirika la Kikristo liitwalo Nehemia Foundation na kusimamiwa na Rhema Outreach Ministries Church Bukoba.
Kauli mbiu ya Redio Rumuli ni NURU ING’AAYO GIZANI, ikimaanisha uwepo wa Radio Rumuli unaashiria upitishaji wa neno la Mungu kuwa Nuru kwa watu wote.
Kwa sababu hiyo Shuhuda zinazoshuhudiwa kupitia redio hii zinafanyika sehemu ya Kumtangaza Yesu Kristo kupitia neno lake kama Mwokozi.
Kwa sasa Redio hii inasikika katika maeneo yote ya mkoa wa Kagera, Wilaya za Kakonko, Kibondo na Kasulu Mkoani Kigoma pamoja na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Geita kupitia masafa ya 98.5.
Habari njema kutoka Nijuze Habari, ni kuwa Rumuli FM Sasa inapatikana kwenye Nijuze TV App.
Radio hii ambayo Makao Makuu yake yapo Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera Sasa inapatikana kwenye Application ya Nijuze TV ambayo pia inapatikana Playstore.
Aidha ukiwa na App ya Nijuze TV utaweza kusikiliza Mubashara vipindi vyote vya Radio Rumuli popote ulipo Duniani.
BOFYA 👉HAPA Kudownload Nijuze TV App uweze kusikiliza Mubashara Kigangani Mwako vipindi vyote vya Rumuli FM.
RATIBA kamili ya vipindi vya Rumuli FM Bukoba.
Kwa Mawasiliano au Kutangaza Biashara yako na Redio Rumuli, wasiliana na Ofisi za Rumuli FM kwa Mawasiliano ya Simu namba +255768325841 Director, +255786116333 Manager, Broadcasting Room : +255786116333
Emails: info@rumuliradio.or.tz,
director@rumuliradio.or.tz au
habari@rumuliradio.or.tz
Our Address
Radio Rumuli FM
P.O.Box 1191
BUKOBA, TANZANIA
Pia Ukiwa na Nijuze Tv App Utaweza Kutazama Season na Movie Mbalimbali zilizotafsiliwa kwa Lugha ya Kiswahili.
UNAWEZA PIA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Radio Rumuli Bukoba, Radio Rumuli FM, Redio Rumuli FM, Rumuli FM 98.5, Rumuli FM 98.5 Bukoba, Rumuli FM 98.5 Sasa inapatikana kwenye Nijuze TV App