Nijuze Habari

SAKHO ashinda tuzo ya Goli Bora Afrika 2022

Filed in Michezo by on 21/07/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

SAKHO ashinda tuzo ya Goli Bora Afrika 2022KIUNGO Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC na Segenal, Pape Ousmane Sakho mwenye umri wa miaka 25 ameshinda Tuzo ya Goli Bora la mwaka la CAF 2022 (CAFAwards2022).SAKHO ashinda tuzo ya Goli Bora Afrika 2022

Goli la tikikata alilofunga dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika, inayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF, mchezo uliofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, ndilo limechaguliwa Goli Bora la mwaka 2022 Afrika.SAKHO ashinda tuzo ya Goli Bora Afrika 2022

“Asanteni Watanzania, asanteni mashabiki wa Simba, asanteni wachezaji wote, nimefurahi sana.”- Pape Ousmane Sakho baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Goli Bora la CAF 2022.

RWallace Karia vs Pape Ousmane Sakhoais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia akiwa na mchezaji wa Simba SC, Pape Ousmane Sakho baada ya kushinda Tuzo ya Goli Bora la mwaka kwenye Tuzo za CAF 2022.

SAKHO ashinda tuzo ya Goli Bora Afrika 2022

Kiungo Mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC, Msenegal Pape Ousmane Sakho akiwa katika picha ya pamoja na Kiungo Mshambuliaji mkongwe wa soka la Afrika J. J. Okocha huku akiwa ameshikilia kiatu chake Cha dhahabu baada ya kushinda tuzo hiyo ya Goli Bora la Afrika.

SAKHO ashinda tuzo ya Goli Bora Afrika 2022

Pape Ousmane Sakho vs Jay Jay OkochaPape Ousmane Sakho akikabidhiwa Tuzo ya Goli Bora la CAF 2022 na Jay-Jay Okocha.

Pape Ousmane Sakho vs Jay Jay Okocha

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.