Nijuze Habari

SENZO Mbatha aondoka Yanga SC

Filed in Michezo by on 30/07/2022 0 Comments

Senzo Hammilton Mazingiza Yanga SCKamati ya Utendaji ya Klabu ya Yanga SC imefanya kikao chake cha kwanza cha Kikatiba Leo Jumamosi July 30, 2022, Serena Hotel jijini Dar es salaam chini ya Uenyekiti wa Rais wa klabu Eng. Hersi Ally Said.

Nijuze Habari Application

SENZO Mbatha aondoka Yanga SC.

Senzo Hammilton Mazingiza Yanga SCKamati ya Utendaji ya Klabu ya Yanga SC imefanya kikao chake cha kwanza cha Kikatiba Leo Jumamosi July 30, 2022, Serena Hotel jijini Dar es salaam chini ya Uenyekiti wa Rais wa klabu Eng. Hersi Ally Said.

Pamoja na mambo mengi yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho kamati ya Utendaji ilipokea na kujadili pendekezo la Bw.Senzo Hammilton Mazingiza la kutokuongeza mkataba wake unaoisha Kesho Jumapili July 31,2022.

Bw. Senzo aliwasilisha ombi hilo lenye mkutadha wa sababu za Kifamilia ambayo amekuwa nayo mbali kwa kipindi cha takribani miaka mitatu.

Ombi hilo lilipokelewa na baada ya kujadiliwa, Kamati ya Utendaji ya Yanga ilikubali ombi hilo na kumteua Wakili Simon Patrick kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa mpito (Interim Chief Executive Officer).

Senzo Hammilton Mazingiza Yanga SCAidha, Klabu ya Yanga inamshukuru Bw. Senzo kwa utumishi wake ulio bora hasa katika mchango wake kwenye eneo la utawala na kumtakia kila la heri.

Senzo Hammilton Mazingiza (born 11 May 1979), nicknamed “Senzo Mbatha”, is a South African sports executive and administrator.

Currently he is administrator of Yanga S.C. and former CEO of Simba Sports Club in Tanzania.

Mazingiza has been involved in several clubs and international sporting events and most notably the FIFA Confederations Cup 2009 and FIFA World Cup 2010 as its Deputy Tournament Director.

Senzo Hammilton Mazingiza Yanga SCMazingiza have vast experience in the CAF Inter-club competitions the experience in understanding the requirements of the continental football.[1][2][3]

Senzo Mazingiza
2020 – Mr. Mazingiza in His Office at Young Africans S.C. Headquarters In Dar es salaam, Tanzania.

Born Senzo Hammilton Mazingiza 11 May 1979 (age 43)
Cape Town, South Africa
Nationality South African
Other names Mbatha
Citizenship South African
Occupation Football Executive and Administrator
Organization Yanga S.C.
Known for Sports Executive and Administration
Notable work FIFA 2010, Orlando Pirates F.C.,FIFA CONFEDERATIONS CUP 2009

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.