Nijuze Habari App

SHABANI Idd Chilunda atambulishwa Simba SC

Filed in Michezo, Usajili by on 20/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

SHABANI Idd Chilunda atambulishwa Simba SC

SHABANI Idd Chilunda atambulishwa Simba SC, Klabu ya Simba imetangaza kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji, Shaban Idd Chilunda kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huru.

Chilunda ni miongoni mwa washambuliaji wazawa wenye vipaji na uwezo mkubwa na ambapo atakuwa msaada kwenye kikosi cha Simba msimu ujao wa 2023/2024.

Chilunda ni miongoni mwa wachezaji wazawa waliofanikiwa kucheza soka la kulipwa ambapo amewahi kuzitumikia, CD Tenerife na CD Izarra zote za Hispania pamoja na Moghreb Tetouan ya Morocco.

SHABANI Idd Chilunda atambulishwa Simba SC,Shabani Idd Chilunda atambulishwa Simba SC, Simba yamsajili Shabani Idd Chilunda,Shabani Idd Chilunda Simba SC,Shabani Idd Chilunda Simba, Shabani Idd Chilunda Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Shabani Idd Chilunda,Shabani Idd Chilunda ni mnyama,Shabani Idd Chilunda Mchezaji mpya Simba SC,Shabani Idd Chilunda ni mnyama.Baada ya kusajiliwa Chilunda amewaomba Wanasimba wampokee kwa mikono miwili pamoja na kumuombea ili atimize malengo ya klabu pamoja na yake.

“Sina mengi ya kusema bali Wanasimba wanipokee na waniombee, nimekuja kufanya kazi Simba nitajihid kwa kushirikiana na wachezaji wenzangu kuweza kushinda kila mechi na mataji klabuni,” amesema Chilunda.

Shaban Idd Chilunda anakuwa Mchezaji mpya wa Sita kusajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya wa 2023/2024, baada ya Kiungo, Farbice Luamba Ngoma kutoka Al Hilal ya Sudan, beki Che Fondoh Malone Junior kutoka Cotton Sport ya Cameroon na Beki wa Kulia David Kameta aliyerejeshwa kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro alipokuwa kwa mkopo.SHABANI Idd Chilunda atambulishwa Simba SC,Shabani Idd Chilunda atambulishwa Simba SC, Simba yamsajili Shabani Idd Chilunda,Shabani Idd Chilunda Simba SC,Shabani Idd Chilunda Simba, Shabani Idd Chilunda Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Shabani Idd Chilunda,Shabani Idd Chilunda ni mnyama,Shabani Idd Chilunda Mchezaji mpya Simba SC,Shabani Idd Chilunda ni mnyama.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Wengine ni kiungo Mshambuliaji, Aubin Kramo Kouamé kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Mshambuliaji, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

Shabani Idd Chilunda atambulishwa Simba SC, Simba yamsajili Shabani Idd Chilunda,Shabani Idd Chilunda Simba SC,Shabani Idd Chilunda Simba, Shabani Idd Chilunda Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Shabani Idd Chilunda,Shabani Idd Chilunda ni mnyama,Shabani Idd Chilunda Mchezaji mpya Simba SC,Shabani Idd Chilunda ni mnyama.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *