Nijuze Habari

SHAIBU “Ninja” bado yupo Yanga SC

Filed in Usajili by on 12/07/2022 0 Comments

Abdallah Shaibu 'Ninja' Yanga SCMlinzi wa kati wa Klabu ya Young Africans SC, Abdallah Shaibu ‘Ninja amefikia makubaliano na Klabu yake ya kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuwatumikia Mabingwa hap wa NBC Premier League 2021/2022.

Nijuze Habari Application

SHAIBU “Ninja” bado yupo Yanga SC

Abdallah Shaibu 'Ninja' Yanga SCMlinzi wa kati wa Klabu ya Young Africans SC, Abdallah Shaibu ‘Ninja amefikia makubaliano na Klabu yake ya kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuwatumikia Mabingwa hap wa NBC Premier League 2021/2022.

Benchi la ufundi la Young Africans SC chini ya kocha Mkuu, Nasreddine Nabi limeonyesha kuwa na imani na beki huyo kisiki na kumuidhinisha aendelee kubaki kikosini hapo.

Msimu uliomalizika haukuwa mzuri sana kwa beki huyo kutokana na majeraha yaliyomuandama mara kwa mara.

Kwa sasa “Ninja amepona majeraha na yuko tayari kupambania nafasi kwenye safu ya ulinzi wa kati ya Young Africans ambayo pia inatumikiwa na Bakari Nondo Mwamnyeto, Dickson Job, Ibrahim Abdallah “Bacca” na Yannick Bangala ambaye anaweza kucheza namba zaidi ya mbili.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.