Nijuze Habari

Shule Kumi Bora Matokeo ya Kidato Cha Nne 2021

Filed in New by on 15/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi January 15, 2022 limetangaza Matokeo ya mtihani wa Taifa wa kidato cha Nne uliofanyika November 2021.

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia Baraza hilo limetangaza Matokeo ya Mitihani ya Upimaji wa Kitaifa ya Darasa la Nne na Kidato cha Pili 2021.

Shule 10 Bora kwenye Matokeo ya Form 4 yaliyotangazwa leo January 15 2022.

1. Kemebos – Mkoa wa Kagera
2. St. Francis – Mbeya
3. Waja Boys – Geita
4. Bright Future Girls
5. Bethel Sabs Girls – Iringa
6. Maua Seminary – Kilimanjaro
7. Feza Boys – Dar es salaam
8. Precious Blood – Arusha
9. Feza Girls – Dar es salaam
10. Mzumbe Secondary – Morogoro.

➡️ MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2021

➡️MATOKEO HA MTIHANI WA MAARIFA 2021

➡️MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE 2021

➡️MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI 2021

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.