Nijuze Habari

SIKU ya Mwananchi🔥tazama Ratiba kamili hapa

Filed in Michezo by on 06/08/2022 0 Comments

SIKU YA MWANANCHI🔥🔥🔥HAYAWI hayawi hatimaye yamekuwa! Ni kilele cha Wiki ya Mwananchi, Siku Kubwa kwa Wananchi, Young Africans SC ni Leo Jumamosi August 06,2022.Siku ya Mwananchi August 06,2022

Nijuze Habari Application

➡️SIKU ya Mwananchi🔥tazama Ratiba kamili hapa

SIKU YA MWANANCHI🔥🔥🔥HAYAWI hayawi hatimaye yamekuwa! Ni kilele cha Wiki ya Mwananchi, Siku Kubwa kwa Wananchi, Young Africans SC ni Leo Jumamosi August 06,2022.Siku ya Mwananchi August 06,2022

Kutakuwepo na Burudani za kutosha kutoka kwa wasanii wakubwa nchini, Mechi za Utangulizi za timu za vijana, kina dada wa Yanga Princess.Siku ya Mwananchi August 06,2022

Utambulisho wa Kikosi Kwaajili ya msimu mpya wa 2022/2023 na baadae mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa dhidi Mabingwa wa Uganda ya Vipers FC saa 1:00 Usiku.Siku ya Mwananchi August 06,2022

➡️TUKIO ZIMA LIPO LIVE KWENYE APP YETU YA NIJUZE HABARI

➡️DOWNLOAD BURE HAPA KUTAZAMA MUBASHARA

➡️RATIBA SIKU YA MWANANCHI AUGUST 06,2022

Siku ya Mwananchi August 06,2022👉5:00 asubuhi -Burudani Kutoka kwa wasanii chipukizi.
👉8:00 Mchana-Burudani Kutoka kwa Msaga Sumu
👉8:15 Mchana-Burudani Kutoka kwa Chobis Twins.
👉8:30 Mchana-Burudani Kutoka kwa Sir Jay
👉8:40 Mchana -Burudani Kutoka kwa Rubby
👉8:50 Alhasiri -Burudani Kutoka kwa Madee.
👉9:00 Alhasiri-Burudani Kutoka kwa Mzee Yusuph.
👉9:15 Alhasiri Yanga U20 Watawasalimia Mashabiki

👉9:15 – 9:45 Yanga Princess vs Ilala Queens (Mechi ya Kirafiki)
👉10:00 Jioni Mzee Wa Bwax atatoa Burudani kwa Mashabiki.
👉10:30 jioni Yanga Princess vs Ilala Queens (kipindi cha pili itaendelea)
👉10:45 jioni 🎙️Min Mars atatoa burudani Kwa Mashabiki Wa Yanga.

👉10:55 jioni Wachezaji wote wa Yanga, Benchi la ufundi litapita uwanjani kuwasalimia mashabiki na ujumbe Kutoka K linet jisajili kidigitali.
👉11:00 Jioni, MC (mshereheshaji)atatoa mrejesho wa Mabadiliko ndani Yanga, nakuwatambulisha wadhamini wa Yanga SC wote kwa msimu mpya 2022/2023.

👉11:10 – 12:10
MC atatambulisha Wachezaji wote wa Yanga kwa msimu 2022-2023 pamoja na benchi la ufundi.
👉12:10 – 12:30 🎙️Msanii Marioo atatoa burudani Kwa Mashabiki wa Yanga.
👉12:30 jioni Wachezaji wote wa Yanga wataingia Uwanjani kufanya warm up.

👉12:50-12:55
Mgeni rasmi atatoa hotuba fupi kwa wanachama na mashabiki wote wa Yanga.
👉1:00 Usiku Yanga SC Vs Vipers FC
👉1:45 -2:00 Usiku🎙️TMK Wanaume Family watatoa burudani kwa mashabiki wa Yanga.
👉2:00 Usiku Kipindi cha pili kitaanza.
👉3:00 Usiku Mkutano na wanahabari kwa Makocha wote wa Yanga na Vipers
👉3:30 Usiku timu zote zitaondoka uwanjani na ndio mwisho wa tamasha la Siku ya Mwananchi 2022.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.