Nijuze Habari

SIKU ya Tamasha la Simba Day yatajwa

Filed in Michezo by on 19/07/2022 0 Comments

Tamasha la Simba Day 2022KLABU ya Simba SC imetangaza rasmi kuwa lile Tamasha kubwa zaidi la soka nchini, SIMBA DAY litafanyika August 08,2022.

Nijuze Habari Application

SIKU ya Tamasha la Simba Day yatajwa

Tamasha la Simba Day 2022KLABU ya Simba SC imetangaza rasmi kuwa lile Tamasha kubwa zaidi la soka nchini, SIMBA DAY litafanyika August 08,2022.

Tamasha la Simba SC 2022Tarehe hiyo ni siku ya utambulisho wa Kikosi cha Simba kuelekea msimu mwingine wa mashindano wa 2022/2023.

Tamasha la Simba SC 2022Aidha siku hiyo itapigwa mechi kubwa ya Kimataifa ya Kirafiki, ambapo mashabiki watakuwa na nafasi ya kuishuhudia timu yao na wachezaji wapya.

Simba Day itatanguliwa na Wiki ya Simba ambapo Wanamsimbazi kote nchini watafanya shughuli mbalimbali za kujitolea katika jamii.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.