Nijuze Habari App

SIMBA Mabingwa Ngao ya Jamii 2023

Filed in New by on 13/08/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

SIMBA Mabingwa Ngao ya Jamii 2023

SIMBA Mabingwa Ngao ya Jamii 2023, Klabu ya Simba SC imefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii 2023 baada ya ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya Yanga kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani Jijini Tanga.

SIMBA Mabingwa Ngao ya Jamii 2023, Simba watwaa Ngao ya Jamii 2023,Simba Mabingwa Ngao ya Jamii, Ngao Ya Jamii2023, Ngao Ya Jamii, Community Shield, Community Shield 2023, Tanga 2023, Yanga SC, Simba SC, Yanga vs Simba, Yanga Vs Simba, Kariakoo Derby.Shujaa wa Simba ni kipa Ally Salim aliyeokoa penati tatu mfululizo za viungo Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Kouassi Attohoula Yao, huku Stephane Aziz Ki akiwa ndiye Mchezaji pekee wa Yanga aliyefunga penati.

Waliofunga penalti za Simba ni Mzamiru Yassin, Leandre Willy Essomba Onana na Jean Othos Baleke, huku Penati ya Saido Ntibanzokiza ikiokolewa na kipa wa Yanga, Djigui Diarra na Yanga Moses Phiri ikipaa juu ya lango.

Simba ilifika Fainali kwa Ushindi wa penati pia 4-2 dhidi ya Singida Fountain Gate Alhamisi ya August 13, huku Yanga ikifika Fainali kwa kuifunga Azam FC mabao 2-0.

Katika hatua nyingine, Klabu ya Azam FC imefanikiwa kumaliza katika nafasi ya tatu baada ya Ushindi wa Mabao 2-0 dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo huo wa kutafuta mshindi wa tatu uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani Jijini Tanga pia.

Mabao ya Azam FC yalifungwa na Mshambuliaji Prince Dube Mpumelelo dakika ya kwanza na kiungo Abdul Suleiman Sopu dakika ya 42.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

SIMBA Mabingwa Ngao ya Jamii 2023, Simba watwaa Ngao ya Jamii 2023,Simba Mabingwa Ngao ya Jamii, Ngao Ya Jamii2023, Ngao Ya Jamii, Community Shield, Community Shield 2023, Tanga 2023, Yanga SC, Simba SC, Yanga vs Simba, Yanga Vs Simba, Kariakoo Derby.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *