SIMBA na Yanga zapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
SIMBA na Yanga zapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023

SIMBA na Yanga zapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023
SIMBA na Yanga zapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023, Klabu ya Simba imepanda kwa nafasi mbili kwenye Viwango vya Ubora Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).
- Wachezaji walioachwa mpaka sasa NBC Premier League 2023
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
Simba ambayo ilimaliza ikiwa nafasi ya Pili kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu uliopita ilikuwa nafasi ya tisa (9) kwenye Viwanja vya Ubora CAF, sasa imepanda hadi nafasi ya saba (7).
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema ina maana Simba itakuwa kwenye port 2 katika droo ya hatua ya Makundi ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
“Katika draw ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba tutawekwa kwenye Port 2 ambayo inahusisha timu kuanzia nafasi ya tano mpaka ya nane”
- Aubin Kramo Kouamé atua Simba SC
- WACHEZAJI wapya wa Simba 2023/2024
- Wachezaji wapya wa Yanga 2023/2024
“Port A itakua na Al Ahly, Mamelod Wydad na Esparance. Port 2 ndo tutakua Simba na wakubwa wenzetu watatu”
“Brand yetu inazidi kupaaa na Malengo yetu ni kuingia kwenye Port ya kwanza siku chache zijazo,” amendika Ahmed kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Baada ya Klabu ya Yanga kufanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2022/2023 imeendelea kusogea katika viwango vya Ubora Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF)
Kwa mujibu wa Msimamo uliotolewa na CAF, baada ya kukamilika kwa Michuano yote na Ligi zote, Klabu ya Yanga imepanda hadi nafasi ya 16 kutoka nafasi ya 20 ilipokuwa.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Yanga yenye makazi yake Jijini Dar es salaam imekuwa na mafanikio makubwa msimu huu wa 2022/2023, mafanikio yaliyoifanya kuingia kwenye orodha ya timu 20 Bora Barani Afrika msimu wa 2022/2023.
Simba yapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023, Yanga yapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023, Yanga yapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023, Viwango vya Ubora CAF Simba yapanda,Viwango vya Ubora CAF Yanga yapanda, Viwango vya Ubora CAF 2023,Viwango vipya vya CAF, Simba yazidi kupaa, Yanga yasogea,Viwango vipya vya Ubora CAF 2023,CAF Club Ranking top 20 2023,Caf club ranking 2022 23 top 10,Top 20 CAF Club rankings 2023,Latest CAF Club ranking 2023,CAF Club Ranking Ahead Of 2022/23,Top 10 African Clubs In CAF Ranking Revealed,Rank Za Vilabu Afrika 2023 CAF Club Ranking,Top 10 Teams in Africa 2023 CAF Clubs Ranking.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
ORODHA ya Vilabu Bora Afrika June 2023 (CAF Club Ranking), Ligi kumi Bora afrika 2023,CAF club ranking top 20 2023,Ligi bora afrika 2023 CAF,CAF ranking of African clubs 2023,Orodha ya Vilabu Bora Afrika Juni 2023 (CAF Club Ranking),Rank za caf ngazi ya vilabu CAF rankings June 2023,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023, Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in Africa June 2023,Simba ranking in Africa June 2023,Vilabu kumi bora africa,CAF club points 2023,Rank za caf ngazi ya vilabu June 2023,CAF club points,CAF rankings 2023.
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: CAF club points, CAF club points 2023, CAF club ranking top 20 2023, CAF ranking of African clubs 2023, CAF rankings 2023., Ligi bora afrika 2023 CAF, Ligi kumi Bora afrika 2023, Nafasi ya Simba Afrika 2023, Nafasi ya yanga afrika 2023, ORODHA ya Vilabu Bora Afrika June 2023 (CAF Club Ranking), Orodha ya Vilabu Bora Afrika Juni 2023 (CAF Club Ranking), Rank za caf ngazi ya vilabu CAF rankings June 2023, Rank za caf ngazi ya vilabu June 2023, SIMBA na Yanga zapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023, Simba ranking in Africa June 2023, Simba yapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023, Simba yazidi kupaa, Vilabu 20 bora afrika 2023, Vilabu kumi bora africa, VIWANGO vipya vya CAF, Viwango vipya vya Ubora CAF 2023, Viwango vya Ubora CAF 2023, Viwango vya Ubora CAF Simba yapanda, Viwango vya Ubora CAF Yanga yapanda, Yanga ranking in Africa June 2023, Yanga yapanda Viwango vya Ubora CAF June 2023, Yanga yasogea