telegram Nijuze Habari

Simba Queens yafuzu Nusu Fainali CAF

Filed in Michezo by on 06/11/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

SIMBA Queens yafuzu Nusu Fainali | CAF Women’s Champions League

Green Buffaloes vs Simba Queens, Matokeo ya Simba Queens vs Green Buffaloes leo, Matokeo ya Simba Queens leo vs Green Buffaloes, Simba Queens vs Green Buffaloes, Matokeo Simba Queens vs Green Buffaloes CAF Women’s Champions League, CAF Women’s Champions League, Womens Champions League Morocco 2022, Live Green Buffaloes vs Simba Queens Matokeo Green Buffaloes vs Simba Queens November 02 2022 | CAF Women Champions League, Live Updates Green Buffaloes vs Simba Queens, Live Simba Queens vs Green Buffaloes.

SIMBA Queens yafuzu Nusu Fainali | CAF Women's Champions League

SIMBA Queens yafuzu Nusu Fainali | CAF Women’s Champions League

Timu ya Wanawake ya Simba Queens imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Green Buffaloes kutoka Zambia katika mchezo wa mwisho wa Kundi A.Simba Queens yafuzu Nusu Fainali CAF.

Asha DJafar ndiye aliyeitanguliza Simba Queens kwenye dakika ya 64 akifunga kwa kichwa alipomalizia mpira wa krosi uliopigwa na Fatuma Issa ‘Fetty Densa.

Nahodha wa Simba Queens, Opa Clement akaifungia Simba Queens bao la pili na la ushindi dakika ya 79 baada ya kupokea pasi ndefu ya mpira wa kutengwa iliyopigwa na mlinzi wa kati Daniela Kanyanya.

Ushindi huo unaifanya Simba Queens kumaliza nafasi ya pili kwenye kundi ikifikisha pointi sita nyuma na wenyeji ASFAR FC ambao ndiyo vinara wakiwa na pointi tisa.Simba Queens yafuzu Nusu Fainali CAF

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *