Nijuze Habari App

SIMBA yaachana na Victor Akpan

Filed in Usajili, Michezo by on 20/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

SIMBA yaachana na Victor Akpan

SIMBA yaachana na Victor Akpan

SIMBA yaachana na Victor Akpan

SIMBA yaachana na Victor Akpan, Uongozi wa klabu Simba SC, umetangaza kufikia makubaliano ya kuachana na kiungo mkabaji Victor Akpan raia wa Nigeria.

Akpan alijiunga na Simba July, 2022 akitokea Coastal Union lakini baada ya uboreshaji mkubwa wa kikosi ambao Simba imepanga kuufanya msimu huu wa 2023/2024 benchi la ufundi limeona kuwa Akpan hatokuwa sehemu ya mipango yao.

SIMBA yaachana na Victor AkpanAidha Simba ilimtoa mkopo mwezi November 2023 kwenda Ihefu SC lakini sasa na sasa Mchezaji huyo na Simba wamefikia makubaliano ya kuachana moja kwa moja.

Simba imesema kuwa inamshukuru Akpan kwa Utumishi wake ndani ya timu hiyo pia inamtakia kheri kwenye maisha yake mapya ya soka nje ya Simba.

Aidha Simba imesema kuwa inaendelea kuboresha timu kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2023/24 na lengo lao ni kuwa na timu imara yenye ushindani itakayokuwa na uwezo wa kubeba Ubingwa.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *