SIMBA Yakusanya Mamilioni Mnada wa Kibegi na Jezi
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
SIMBA Yakusanya Mamilioni Mnada wa Kibegi na Jezi
SIMBA Yakusanya Mamilioni Mnada wa Kibegi na Jezi, Klabu ya Simba jana iliendesha mnada wa ‘kibegi’ ambapo Fedha zilizopatikana zinakwenda kusaidia wodi za Mama na Mtoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Hospitali ya Zanzibar.

Jezi ya Rais wa Heshima wa klabu, Mohamed Dewji ‘Mo’ @moodewji imeuzwa Sh. 2,000,000 na Duka la Vifaa la Michezo la Romario Sports katika mnada uliofanyika katika Ofisi za Azam TV #UnyamaMwingi #Nguvumoja
Katika mnada huo, jezi ya kwanza
kunadiwa iliikuwa ya Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji “Mo” ambayo ilinunuliwa kwa Shilingi Milioni mbili (2,000,000), Mnunuzi akiwa
Bukara Romario, wauzaji wa vifaa vya michezo.

Jezi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Tulia Ackson imeuzwa kwa Sh. 2,500,000 kwa Tawi la Simba Makini katika mnada wa jezi uliofanyika katika ofisi za Azam TV #UnyamaMwingi #NguvuMoja
Jezi ya Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ilinunuliwa kwa Shilingi milioni 2.5 na Tawi la Simba Makini.

Jezi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango imeuzwa kwa Sh. 3,000,000 kwa Sanda Omary ‘Sandaland The Only One’ @sandalandtheonlyone_ katika Mnada uliofanyika katika ofisi za Azam TV. #UnyamaMwingi #NguvuMoja
Jezi ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ilinunuliwa na Sandaland kwa dau la Shilingi milioni tatu (3,000,000).

Jezi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa imeuzwa kwa Sh. 4,000,000 kwa S & Sons LTD katika mnada uliofanyika katika ofisi za Azam TV. #UnyamaMwingi #NguvuMoja
Jezi ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ilinunuliwa kwa Shilingi milioni nne (4,000,000) na ES & Sons.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

Jezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi imeuzwa Tsh. 5,000,000 kwa Hasa Clearing and Forwarding katika mnada uliofanyika katika ofisi za Azam TV #UnyamaMwingi #NguvuMoja
Jezi ya Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ilnunuliwa kwa Shilingi milioni tano (5,000,000)

Jezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan imeuzwa kwa Sh. 10,000,000 kwa Benki ya CRDB @crdbbankplc katika mnada wa jezi uliofanyika katika ofisi za Azam TV #UnyamaMwingi #NguvuMoja
Jezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan
ilinunuliwa na Benki ya CRDB kwa shilingi milioni 10 (10,000,000), huku kibegi kikinuliwa kwa Tsh Milioni 2.5 na
Saleh Majapa.

Kibegi kilichokuwa na jezi zetu na kupelekwa juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro imeuzwa kwa Sh. 2,500,000 kwa Saleh Majapa katika mnada wa jezi ambao uliofanyika katika ofisi za Azam TV #UnyamaMwingi #NguvuMoja
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
- JINSI ya Kupata TIN namba Online
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
