Nijuze Habari App

SIMBA yamsajili Kipa Mbrazil

Filed in Michezo, New, Usajili by on 23/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

SIMBA yamsajili Kipa Mbrazil

SIMBA yamsajili Kipa Mbrazil,Jefferson Luis Szerban de Oliveira atambulishwa Simba SC, Jefferson Luis Szerban de Oliveira atambulishwa Simba, Jefferson Luis Szerban de Oliveira Simba Jefferson Luis Szerban de Oliveira Simba Jefferson Luis Szerban de Oliveira Simba,Jefferson Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Jefferson, Jefferson Luis Szerban de Oliveira ni mnyama, Jefferson Kipa mpya Simba SC,Jefferson Luis Szerban de Oliveira golikipa mpya Sports Club Tanzania, Jefferson mrithi wa Kakolanya Simba,Jefferson Luis Szerban de Oliveira golikipa mpya Simba SC.

SIMBA yamsajili Kipa Mbrazil

SIMBA yamsajili Kipa Mbrazil, Klabu ya Simba SC, imemtambulisha Golikipa, Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior mwenye umri wa miaka 29 kutoka Itabirito FC-MG alipokuwa kwa mkopo kutoka Resende iliyopo Serie D kwao Brazili kwa mkataba wa miaka miwili.

Tayari mlinda mlango huyo ameungana na kikosi Cha Simba kilichopo nchini Uturuki kuendelea na mazoezi ya maandalizi ya msimu wa Mashindano wa 2023/24.

Jefferson anao uwezo mkubwa wa kulinda lango huku akitumia miguu yote kwa ufasaha pamoja na kumudu kuanzisha mashambulizi.

Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior ambaye ana urefu wa futi 1.92 anaungana na Makipa waliokuwepo Simba ambao ni Aishi Manula, Ally Salum na Ally Ferouz ‘Teru’ katika kuliweka salama eneo hilo msimu mpya wa 2023/2024.

Ujio wa Jefferson unakwenda kuibeba Simba katika kipindi chote ambacho mlinda lango nambari moja Aishi Manula atakuwa akiuguza majeraha yake ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi mitatu.

Awali Simba ilikuwa ikihusihwa kumsajilia Mcameroon, Simon Omossola mwenye umri wa miaka 25, hata hivyo Kocha Mkuu wa Simba, Robertinho Oliveira amependekeza asajiliwe Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior.

SIMBA yamsajili Kipa Mbrazil,Jefferson Luis Szerban de Oliveira atambulishwa Simba SC, Jefferson Luis Szerban de Oliveira atambulishwa Simba, Jefferson Luis Szerban de Oliveira Simba Jefferson Luis Szerban de Oliveira Simba Jefferson Luis Szerban de Oliveira Simba,Jefferson Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Jefferson, Jefferson Luis Szerban de Oliveira ni mnyama, Jefferson Kipa mpya Simba SC,Jefferson Luis Szerban de Oliveira golikipa mpya Sports Club Tanzania, Jefferson mrithi wa Kakolanya Simba,Jefferson Luis Szerban de Oliveira golikipa mpya Simba SC.Jefferson anakuwa Mchezaji mpya wa 10 kusajiliwa na Simba kuelekea msimu mpya wa 2023/2024, baada ya Kiungo Mshambuliaji Luis Jose Miquissone kutoka Abha FC ya Saudi Arabia alipokuwa kwa mkopo kutoka Al Ahly ya Misri.

Wengine ni beki wa Kati Hussein Kazi kutoka Geita Gold FC, kiungo mkabaji Abdallah Hamis kutoka Orapa United ya Botswana na Mshambuliaji Shaban Chilunda kutoka Azam FC.

Wengine ni Kiungo Farbice Luamba Ngoma kutoka Al Hilal ya Sudan na beki Che Fondoh Malone Junior kutoka Cotton Sport ya Cameroon.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Wengine ni Beki wa Kulia David Kameta aliyerejeshwa kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro alipokuwa kwa mkopo, kiungo Mshambuliaji, Aubin Kramo Kouamé kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Mshambuliaji, Leandre Essomba Willy Onana kutoka Rayon Sport ya Rwanda.

SIMBA yamsajili Kipa Mbrazil,Jefferson Luis Szerban de Oliveira atambulishwa Simba SC, Jefferson Luis Szerban de Oliveira atambulishwa Simba, Jefferson Luis Szerban de Oliveira Simba Jefferson Luis Szerban de Oliveira Simba Jefferson Luis Szerban de Oliveira Simba.

Jefferson Mchezaji mpya Simba, usajili Simba yamsajili Jefferson, Jefferson Luis Szerban de Oliveira ni mnyama, Jefferson Kipa mpya Simba SC,Jefferson Luis Szerban de Oliveira golikipa mpya Sports Club Tanzania, Jefferson mrithi wa Kakolanya Simba,Jefferson Luis Szerban de Oliveira golikipa mpya Simba SC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *