Nijuze Habari

Simba yashika nafasi ya 6 Afrika

Filed in Michezo by on 09/12/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limetoa orodha ya vilabu bora Afrika kwa mwaka 2021.

Bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Klabu ya Simba SC imefanikiwa kuingia 10 bora kwa kushika nafasi ya 6 ndani ya vilabu 30 Bora.

Na hii ndiyo listi kamili ya Vilabu 30 bora kwenye Bara la Afrika.

telegram Nijuze Habari

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.