Nijuze Habari App

SIMBA yataja tarehe ya Kilele cha Wiki ya Simba (Simba Day 2023)

Filed in Michezo, New by on 15/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

SIMBA yataja tarehe ya Kilele cha Wiki ya Simba (Simba Day 2023)

SIMBA yataja tarehe ya Kilele cha Wiki ya Simba (Simba Day 2023), Klabu ya Simba SC imetaja siku ya tarehe 6 August kuwa ndiyo itakuwa siku ya kilele cha Wiki ya Simba maarufu kama SIMBA DAY kwa mwaka 2023.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Ahmed Ally amesema kuwa wameamua kuirudisha nyuma siku mbili kwa sababu tarehe 10 August watakuwa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate FC ya Singida.

SIMBA yataja tarehe ya Kilele cha Wiki ya Simba (Simba Day 2023), Simba Day Agosti 6,simba day 2023,Simba Day Agosti 6 2023,simba day 2023 ni Agosti 2023, Simba Day kupigwa Agosti 6,Simba day 2023 kupigwa Agosti 6,Simba Day kupigwa tarehe 6/8/203.Tamasha hilo hufanyika kila mwaka kwa lengo la kutambulisha wachezaji wapya kuelekea msimu mpya unaofuata pamoja na benchi la ufundi.

SIMBA yataja tarehe ya Kilele cha Wiki ya Simba (Simba Day 2023)

Ahmed ameongeza kuwa wamerudisha nyuma Tamasha hilo ili kuwapa muda wa kupumzika Wachezaji wao kuelekea mchezo huo ambao mshindi wake atafuzu kwenda Fainali, ambapo atakutana na mshindi kati ya Young Africans dhidi ya Azam FC.

Tamasha hilo litakuwa ni la 15 tangu lilipoanzishwa mwaka 2009 na aliyekuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Hassan Dalali na katibu wake, Mwina Kaduguda.

Wiki ya Simba inatarajiwa kuanza August 01 ambapo Wanasimba watashiriki Matukio mbalimbali ya kujitolea kwenye Jamii.

Kikosi cha Simba ambacho kipo nchini Uturuki kikiendelea na maandalizi kinatarajiwa kurejea mwanzoni mwa mwezi August 2023.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

SIMBA yataja tarehe ya Kilele cha Wiki ya Simba (Simba Day 2023), Simba Day Agosti 6,simba day 2023,Simba Day Agosti 6 2023,simba day 2023 ni Agosti 2023, Simba Day kupigwa Agosti 6,Simba day 2023 kupigwa Agosti 6,Simba Day kupigwa tarehe 6/8/203, SIMBA YATANGAZA SIKU RASMI YA TAMASHA LA SIMBA DAY 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *