SIMBA yathibitisha usajili wa Manzoki
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
SIMBA yathibitisha usajili wa Manzoki
Tetesi za usajili Ligi Kuu Tanzania, tetesi za usajili Ligi Kuu ya NBC, tetesi za usajili NBC Premier League 2022/2023, tetesi za Usajili Simba SC, tetesi za Usajili Simba Sports Club, tetesi za Usajili Simba, tetesi za Usajili Simba sc.
tetesi za Usajili, tetesi za Usajili Simba Sports Club Tanzania, tetesi za Usajili Simba Sports Club Tanzanian, tetesi za Usajili Simba, Usajili Simba Sports Club, Usajili Simba, Usajili Simba SC, Usajili Msimbazi, Usajili Simba Tanzania.
Baada ya kushindwa kuinasa saini Mshambuliaji Cesor Manzoki raia wa DR Congo mwenye umri wa miaka 26 kukwama katika usajili wa dirisha kubwa la Usajili uongozi wa Simba sasa umeweka mambo sawa.
Wakati tetesi za usajili wake zikiendelea kuwapa presha Mashabiki wa Simba SC, mshauri wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Crescentius Magori, amethibtisha kuwa ni suala la muda tu Manzoki atatambulishwa Msimbazi kwani usajili wake ulikamilika kabla hajatimkia China kunako klabu ya Dalian.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Manzoki alisaini mkataba wa muda mfupi na Dalian akitokea Vipers ya Uganda, mkataba ambao unamalizika mwanzoni mwa January 2023.
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023 tazama droo kamili hapa
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023 tazama droo kamili hapa
Kuthibitisha ujio wa Manzoki, jana Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Salim Abdallah ‘Try Again’ aliweka dokezo la malengo ya Simba kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii huku akiweka picha yake na mchezaji ambaye hakuwa akionekana sura yake.
- KOMBE la Dunia LIVE Kwenye Nijuze Habari APP
- Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: SIMBA yathibitisha usajili wa Manzoki, Tetesi za Usajili, tetesi za Usajili Ligi Kuu Tanzania, tetesi za Usajili Ligi Kuu ya NBC, Tetesi za Usajili NBC Premier League 2022/2023, Tetesi za Usajili Simba, Tetesi za Usajili Simba SC, Tetesi za Usajili Simba Sports Club, tetesi za Usajili Simba Sports Club Tanzania, tetesi za Usajili Simba Sports Club Tanzanian, Usajili Msimbazi, Usajili Simba, Usajili Simba SC, Usajili Simba Sports Club, Usajili Simba Tanzania.