telegram Nijuze Habari

Simba yatuma salamu za pole kwenda kwa shabiki aliyejinyonga

Filed in New by on 19/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

Baada ya Taarifa kusambaa kuwa Kijana Khalfan Mwambena (17) mkazi wa Jijini Mbeya na Shabiki kindaki ndaki wa Simba kusambaa kuwa amejiua baada ya Simba SC kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City FC.

Klabu ya Simba Kupitia Meneja wa Habari na mawasiliano wa Klabu hiyo, Ahmed Ally umekanusha taarifa hiyo na kueleza kuwa Shabiki huyo amefariki siku ya mchezo huo majira ya asubuhi kabla hata ya mchezo kuchezwa.

Sasa klabu ya Simba imekwenda mbali na kuthamini mapenzi ya Shabiki huyo kwa Klabu ya Simba. Simba imetoa taarifa kuonesha kuguswa na msiba wa shabiki huyo na kutoa pole kwa familia na Wanasimba kwa ujumla.

Tazama sehemu ya Taarifa ya Simba kwenda kwa Familia, Wapenzi, Wanachama na Mashabiki.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *