Singida BS vs Yanga kupigwa pale pale Singida

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


Singida BS vs Yanga kupigwa pale pale Singida

Singida BS vs Yanga kupigwa pale pale Singida
MSAFARA wa Klabu ya Yanga ulioondoka Jijini Dar es Salaam jana kwenda Singida kwaajili ya mechi mbili dhidi ya Singida Big Stars, ulilazimika kurejea tena Dar es salaam baada ya ndege waliyopanda kushindwa kutua kwenye Uwanja wa ndege Mkoani Dodoma kutokana na tatizo la taa kwenye Uwanja huo.
Yanga ilitatajiwa kutua na ndege kwenye Uwanja huo kisha kuanza safari na ya kwenda Mkoani Singida kwa Usafiri wa basi.
Uongozi wa Yanga umewatoa hofu wapenzi na wanachama wake kuwa wachezaji wake wote wapo salama na wanafanya utaratibu wa kupata ndege nyingine ili kurejea Singida.

Singida BS vs Yanga kupigwa pale pale Singida
Klabu hiyo inatatajiwa kucheza mechi tatu tofauti ndani ya siku saba, miwili Singida, wa Ligi Kuu raundi ya 27 na Nusu Fainali ASFC huku mmoja wa Nusu Fainali CAF Confederation Cup ukitarajiwa kupigwa Jijini Dar es Salaam.
Alhamisi ya May 4 Yanga itacheza dhidi ya Singida BS mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na Jumapili ya May 7 dhidi ya Singida BS pia huu ukiwa wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
Baada ya hapo Yanga itasafiri na kurejea Jijini Dar es Salaam kwaajili ya mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini Jumatano ya Maya 10,2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Baada ya mchezo dhidi ya Singida Yanga itakuwa jmebaki mechi 3 dhidi ya Dodoma Jiji, Mbeya City na Tanzania Prisons na ili kuwa Bingwa wanatakiwa kushinda mechi tatu kati ya nne zilizobaki.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.