Singida BS yauzwa sasa itaitwa Singida Fountain Gate FC
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Singida BS yauzwa sasa itaitwa Singida Fountain Gate FC

Singida BS yauzwa sasa itaitwa Singida Fountain Gate FC
Singida BS yauzwa sasa itaitwa Singida Fountain Gate FC, Klabu ya Singida Big Stars imeuza hisa zake kwa mmiliiki wa Fountain Gate huku moja ya masharti ya mkataba ambao wameingia ikiwa ni pamoja na kutobadili jina la timu hiyo.
Viongozi wa taasisi hizo mbili wamekutana leo Jumatano Juni 14,2023 jijini Dar es Salaam na kuutangazia umma kupitia Mkutano na Waamuzi wa habari juu ya hatua hiyo iliyofikiwa.
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Singida BS, John Peter amesema kuwa “Kwa mwaka mmoja tumekuwa kwenye Ligi Kuu, baada ya kupanda Ligi tulibadili jina na kuitwa Singida Big Stars, malengo yetu yalikuwa ni makubwa, ilikuwa kuingia kwenye nne bora,”
“Wenzetu wa Tukuyu waliingia Ligi Kuu na kuchukua Ubingwa tofauti na sasa ambapo Ligi ni tofauti na zamani, Ligi hii imekuwa na uwekezaji mkubwa, hivyo hata ushindani nao umekuwa mkubwa,”

Singida BS yauzwa sasa itaitwa Singida Fountain Gate FC
“Msimu ujao tutashiriki michuano ya Kimataifa, lazima tujipange na kuona tutafanikiwa kwa namna gani, tumekuwa na vikao vingi, kazi kubwa sana imefanyika kufika hapa,”
“Tunawashukuru wadhamini wote, wametusaidia kuwa hapa, wametusaidia kusafiri bila matatizo na kuweka kambi bila tatizo, tumeshiriki mapinduzi na kushika nafasi ya pili yote haya mafanikio ni kwa sababu ya uwepo wao,”
John Peter aliongeza kuwa “Siku hizi gharama za uendeshaji wa klabu ni kubwa sana, tumetafakari hili pamoja na changamoto tulizonazo, tukatafuta na kuona nani wa kumtua mzigo, tukaona tuungane na hawa ndugu zetu wa Fountain, tulizungunza nao hawa wenzetu ambao wanajua kuhusu mpira kwa sababu wamekuwa na timu ya daraja la kwanza na hata Ligi Kuu kwa upande wa Wanawake,”
“Tumewasogelea ili kufanya nao Biashara ili kuendeleza furaha ya mpira, tumekaa nao mezani na kukubaliana vipengele vya kuchukua timu na kununua, moja na sharti kubwa ni timu kubaki Singida na lazima neno Singida libakie kwenye timu ili kuenzi.”
Kwa upande wake, aliyekuwa Mkurugenzi wa Akademi ya Fountain Gate, Japhet Makau ambaye kwa sasa ni Rais wa klabu hiyo kwenye muundo mpya, alisema; “Tumeona fursa ambayo imetokea Singida BS, baada ya kuona watafute mtu wa kutake-over,”
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
“Singida BS, kwetu tumeona ni sehemu nzuri na kuona kuichukua Singida BS, timu kubaki Singida kwetu hiyo sio changamoto kabisa na Fountain inaweza kuwa Tanzania nzima,” alisema.
Makau alitangaza kwenye mkutano huo kuanzia sasa timu ya Fountain Gate Princess itafahamika kama Singida Fountain Gate Princess ili kukidhi matakwa ya CAF kushiriki michuano ya Kimataifa msimu ujao wa 2023/2024.
Japhet Makau ni mmiliki wa shule za Fountain Gate pia ndio mmiliki wa timu za Fountain Gate FC inayoshiriki Ligi ya Championship na timu ya Wanawake Fountain Gate Princess.
Singida BS yauzwa sasa itaitwa Singida Fountain Gate FC, Singida Big Stars ni Singida Fountain Gate FC, Singida BS sasa ni Singida Fountain Gate FC, Singida Fountain Gate FC,Singida Fountain Gate, Singida Fountain Gate Football Club.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Singida Big Stars ni Singida Fountain Gate FC, Singida BS sasa ni Singida Fountain Gate FC, Singida BS yauzwa sasa itaitwa Singida Fountain Gate FC, Singida Fountain Gate, Singida Fountain Gate FC, Singida Fountain Gate Football Club.