Nijuze Habari

SOKABET APP NZURI YA KUBETI SOKA

Filed in Michezo by on 24/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

KAMA unajiuliza ni App gani Bora kwa mwaka huu ya kubetia Soka basi jibu ni SOKABET pekee.

Najiamini kusema SOKABET ndiyo Kampuni Bora nambari moja ya Michezo ya kubashiri Mtandaoni hapa Tanzania kutokana na namna inavyojiendesha kitaalamu.

Unapotafuta sehemu ya kuaminika inayoaminika kwaajili ya kubeti Soka Mtandoni unapaswa kuwa makini ili usije ukakosea na mwisho wa siku unaishia kujilaumu.

Hizi ni sifa zinazoifanya SOKABET kuwa App nzuri zaidi ya kubeti Mtandaoni.

1. App ya Android inapatikana kwa urahisi Jinsi ya kupakua (Download) App ya Sokabet APK inapatika kwa urahisi kabisa.

Nenda moja kwa moja kwenye tovuti na Jisajili kwa Kubofya Hapa Juu kabisa kushoto utakutana na kitufe kimeandikwa “App” ukikibonyeza basi utafuata maelekezo na moja kwa moja utaipakua.

Ukishabonyeza kitufe hicho, “App” itaanza kujipakua Ikishamaliza kujipakua, bonyeza “Fungua” (Open) kisha bonyeza “Install”

Endapo simu ikakuletea maelezo ya ziada (install from unknown sources) nenda kwenye mpangilio kwenye simu yako (Settings) na ubonyeze Security kisha ruhusu sehemu iliyowekwa kwa neno “Uknown Sources ”Ukimaliza ku ‘install” basi App ya SOKABET itakuwa imeshajihifadhi kwenye simu yako.

Hapo sasa una nafasi ya kuweka Pesa na kuanza kubeti na SOKABET, App hii inafunguka kwa wepesi na haraka hivyo kuwa ni sahihi kabisa kwako kuitumia mwaka huu.

2. Ukiifungua App Chagua kati ya Altenar na Betsolution; zote zinakupa Michezo unayohitaji.

3. Unaweza kubeti Live au Pre-Match, Kupitia App ya SOKABET unaweza kubeti Live (mechi ikiwa inaendelea) au kabla ya mechi kuanza (pre-match).

Watu wengi wanapenda kubeti kabla mechi haijaanza ili wapate uwanja mpana kabisa wa machaguo kama vile, kadi, magoli, faulo na hadi over/under, double chance n.k.

5.Njia rahisi za kuweka Pesa kwa kutumia Simu basi unaweza kuweka Pesa kwenye akaunti yako ya Sokabet kwa kiurahis kwa kupitia Airtel Money, M-pesa, HaloPesa, Tigopesa, Selcom na Visa / Mastercard.

Cha kufanya Ingia kwenye Menyu ya Malipo kulingana na mtandao unaotumia kisha chagua Lipa bili na weka 335757 kama namba ya kampuni.

Kisha weka namba yako ya simu kama namba ya kumbukumbu, Malizia na namba ya siri.

6.Huduma za kuaminika kwa wateja, Ubora wa kampuni ya Sokabet ni kwamba unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja muda wowote kwa masaa 24.

Ukipiga namba yao 0746983630 utaweza kuulizia kila kitu unachohitaji kujua kuhusu huduma za SOKABET, Kujisajili Bofya Hapa

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.