LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

STARS yawekewa Milioni 500 Kufuzu AFCON 2023/2024

Filed in Michezo by on 21/03/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

STARS yawekewa Milioni 500 Kufuzu AFCON 2023/2024

STARS yawekewa Milioni 500 Kufuzu AFCON 2023/2024, Tanzania vs Uganda,Taifa Stars vs The Cranes,Stars vs The Cranes, Uganda vs Tanzania, Uganda vs Taifa Stars,Tanzania vs Uganda leo, Kufuzu AFCON 2023/2024, Tanzania dhidi ya Uganda Leo.

STARS yawekewa Milioni 500 Kufuzu AFCON 2023/2024, Tanzania vs Uganda,Taifa Stars vs The Cranes,Stars vs The Cranes, Uganda vs Tanzania, Uganda vs Taifa Stars, Tanzania vs Uganda leo, Kufuzu AFCON 2023/2024, Tanzania dhidi ya Uganda Leo.

STARS yawekewa Milioni 500 Kufuzu AFCON 2023/2024

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana amesema kuwa Serikali itatoa kiasi cha Shilingi Milioni 500 endapo timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) itafuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Barani Afrika (AFCON) mwaka 2024 nchini Ivory Coast.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Machi 20,2023 Jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Hamis Mwinjuma ataongoza Watanzania wa hapa nchini na waishio nchini Misri kuishangilia Taifa Stars.

STARS yawekewa Milioni 500 Kufuzu AFCON 2023/2024, Tanzania vs Uganda,Taifa Stars vs The Cranes,Stars vs The Cranes, Uganda vs Tanzania, Uganda vs Taifa Stars,Tanzania vs Uganda leo, Kufuzu AFCON 2023/2024, Tanzania dhidi ya Uganda Leo.

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk. Pindi Chana

“Nawaomba Watanzania tujitokeze kwa wingi kuishangilia Taifa Stars katika mchezo wa tarehe 24, Machi 2023 dhidi ya Uganda (The Cranes) utakaochezwa katika mji wa Isimailia nchini Misri na mchezo wa marudiano utakaochezwa Machi 28, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa” amesema Mhe. Chana.

Aidha Chana amewataka wadau wa mchezo huo ikiwemo Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) pamoja na mashabiki kumuunga mkono Kocha wa Timu hiyo, Adel Amrouche, huku akiwasistiza Wachezaji wajitume ili waweze kufanya vizuri katika Mashindano hayo.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *