Nijuze Habari

YANGA yamtambulisha Aziz Ki

Filed in Usajili by on 15/07/2022 1 Comment

Stephen Aziz KI Yanga SCYanga SC Transfer News, Aziz Ki asaini Yanga SC, Yanga SC, Aziz KI Usaijili, Usajili Aziz Ki Yanga SC, Yanga SC Usajili 2022/2023, Young Africans SC, Stephen Aziz KI Yanga SC.

Nijuze Habari Application

YANGA yamtambulisha Aziz Ki

Stephen Aziz KI Yanga SCYanga SC Transfer News, Aziz Ki asaini Yanga SC, Yanga SC, Aziz KI Usaijili, Usajili Aziz Ki Yanga SC, Yanga SC Usajili 2022/2023, Young Africans SC, Stephen Aziz KI Yanga SC.

Stephen Aziz KI Yanga SCKLABU ya Yanga SC imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo Mshambuliaji Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso mwenye umri wa miaka 26 kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka miwili.

CV ya Aziz Ki Mchezaji wa Yanga SC

Stephen Aziz KI Yanga SC.

Usajili wa Aziz Ki unakuwa usajili mpya wa tano (5) wa Yanga SC baada ya beki Mcongo, Lomalisa Mutambala kutoka Sagrada Esperança ya Angola

Stephen Aziz KI Yanga SCWengine ni kiungo Mrundi, Gael Bigiriamana kutoka Glentoran ya Ireland Kaskazini, winga Mghana, Bernard Morrison kutoka Simba SC na mshambuliaji Lazarous Kambole kutoka Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.Stephen Aziz KI Yanga SC

Uhamisho wa Stephanie Aziz Ki kwenda Yanga SC, umetajwa kuigharimu Klabu hiyo Euro 200,000 (takriban TSH milioni 468) kama gharama za kusaini mkataba ambazo zitaenda kibindoni mwa mchezaji na wawakilishi wake.Stephen Aziz Ki Yanga SC

Aziz Ki atakuwa analipwa mshahara wa Euro 10,000 (takriban TSH milioni 23) kila mwezi.Stephen Aziz Ki Yanga SC

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Junior says:

    Nakupa saalam lile topo Mohamed Hussein

Leave a Reply

Your email address will not be published.