Nijuze Habari

Sure Boy aondoka rasmi Azam FC

Filed in Michezo, Usajili by on 22/12/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

KLABU ya Azam FC imeachana rasmi na kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ baada ya kuitumikia timu hiyo tangu mwaka 2007 inapanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Taarifa ya Azam FC imesema; “Alasiri ya leo December 22, (Sure Boy) amekuja Azam Complex kuchukua barua yake ya kuruhusiwa kuondoka Azam Football Club (Release Letter),”.

“Amekabidhiwa barua hiyo na afisa mtendaji mkuu, Abdulkarim Amin Popat. Kwa barua hiyo, ni rasmi sasa kwamba Salum Abubakary siyo tena mchezaji wa Azam Football Club. Tunamtakia kila la kheri,”.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.