Nijuze Habari

Sure Boy atua Yanga

Filed in Michezo, Usajili by on 24/12/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

Klabu ya Young Africans imemtambulisha rasmi Kiungo Mchezeshaji Salum Abubakar ‘Sure Boy”

Kiungo huyo amejiunga na Young Africans Kwa mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru baada ya kuachana na Azam FC.

telegram Nijuze Habari

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.