Nijuze Habari

TAARIFA mpya kutoka Simba SC August 11,2022

Filed in Michezo by on 11/08/2022 0 Comments

TAARIFA mpya kutoka Simba SC August 11,2022KLABU ya Simba imeomba radhi kwa waumini wa Dini ya Kikristo, Viongozi wa madhehebu yote ya Kikristo, Serikali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania na jamii kwa ujumla kwa usumbufu uliojitokeza kwenye tamasha lao la Simba Day Jumatatu ya August 08,2022.

Nijuze Habari Application

TAARIFA mpya kutoka Simba SC August 11,2022

TAARIFA mpya kutoka Simba SC August 11,2022KLABU ya Simba imeomba radhi kwa waumini wa Dini ya Kikristo, Viongozi wa madhehebu yote ya Kikristo, Serikali, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania na jamii kwa ujumla kwa usumbufu uliojitokeza kwenye tamasha lao la Simba Day Jumatatu ya August 08,2022.

Katika tamasha hilo Msanii Khalid Ramadhani Tunda maarufu “Tundaman” aliingia Uwanjani kutumbuiza ambapo alitumia mavazi, Vifaa na ishara ambavyo vimeibua hisia na kuwakera wengi hasa waumini na viongozi wa dini ya Kikristo.

Kwa kuheshimu imani za watu wote Simba imelazimika kuomba radhi kwa tukio hilo.

Hata hivyo kabla ya onyesho hilo, Simba Simba imesema kuwa haikufahamu kama Tundaman atatumia aina hiyo ya maudhui kwani siku ya majaribio hakufanya hivyo.

Vile vile Simba imewataka wasanii hao waombee radhi kwa jamii ambapo wamekiri na kuahidi kufuata taratibu stahiki katika kuomba radhi na kujutia kosa hilo.

Simba vs Yanga Ngao ya Jamii August 13,2022Katika hatua nyingine, Klabu hiyo jana imeanza rasmi mazoezi ikiwa ni maandalizi ya Mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Watani zao Yanga SC.

Simba vs Yanga Ngao ya Jamii August 13,2022Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi hii ya August 13,2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 1:00 Usiku.

Simba vs Yanga Ngao ya Jamii August 13,2022Viingilio vya mchezo huo vimetajwa kuwa ni Tsh 30,000 kwa VIP A, Tsh 20,000 kwa VIP B na Tsh 15,000 kwa C.

Simba vs Yanga Ngao ya Jamii August 13,2022Kwa Viti vya rangi ya Machungwa itakuwa Tsh 7,000 na Viti vya Bluu pamoja na Viti vya Kijani itakuwa Tsh 5,000 tu.Simba vs Yanga Ngao ya Jamii August 13,2022

telegram Nijuze Habari

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.