Nijuze Habari

TAARIFA mpya kutoka Simba SC June 27,2022

Filed in Usajili by on 27/06/2022 0 Comments

Nembo ya Simba SCMENEJA wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amewatoa hofu Wanamsimbazi waliokuwa na shauku kubwa ya kufahamu nani mrithi wa nafasi ya Kocha Mkuu wa Klabu hiyo baada ya Pablo Franco kutimuliwa.

Nijuze Habari Application

TAARIFA mpya kutoka Simba SC June 27,2022

Nembo ya Simba SCMENEJA wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amewatoa hofu Wanamsimbazi waliokuwa na shauku kubwa ya kufahamu nani mrithi wa nafasi ya Kocha Mkuu wa Klabu hiyo baada ya Pablo Franco kutimuliwa.

Ahmed Ally amebainisha kuwa tayari kocha mpya amepatikana na watamtangaza baada ya msimu huu wa 2021/2022 kumalizika.

Awali uongozi wa Klabu hiyo uliahidi kuwa kocha huyo angewasili mapema ili kushuhudia angalau michezo miwili ya kukamilisha msimu lakini imekuwa tofauti kutokana na Changamoto na hilo.

  • DOWNLOAD APP YETU HAPA BURE 

“Mchakato wa kumpata kocha tayari umekamilika, nawaambia mashabiki na wanachama wetu wasiwe na wasiwasi tutamtangaza kocha baada ya Juni 29 tutakapomaliza mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Msimu huu,” Ahmed Ally

Kuhusu michakato ya usajili, Ahmed amesema uongozi wa Klabu hiyo unaendelea na maboresho ya kikosi na dirisha la usajili litakapofunguliwa wataweka hadharani majina ya wachezaji waliosajiliwa.

Mpaka sasa Klabu hiyo yenye makazi yake mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es salaan imekamilisha Usajili wa mshambuliaji Moses Phiri kutoka klabu ya Zanaco FC ya kwao Zambia.

Habari za uhakika zanadai kuwa Kocha James Kwasi Appiah ni mmoja kati ya makocha 3 walioingia 3 bora kwenye usaili wa Simba SC kurithi mikoba ya Mfaransa Pablo Franco Martin.

Kwasi ni mchezaji na kocha mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ghana (Black Stars).

Kwasi anapigiwa chapuo na kupewa nafasi ya kushinda nafasi hiyoz ana CV kubwa kama kocha na mchezaji.

WASIFU WAKE
Jina: JAMES KWASI APPIAH
Uraia: Ghana
Umri: 9/ Agosti 1959 (63)
Nafasi: Kocha.

UNAWEZA PIA KUSOMA PIA👇

DOWNLOAD APP MPYA YA NIJUZE HABARI BURE HAPA

UPATE KUTAZAMA MECHI LIVE, MAGAZETI YA KILA SIKU ASUBUHI PAMOJA NA HABARI NYINGINE NYINGI.

TEMBEA NA DUNIA MKONONI MWAKO UKIWA NA APP HII, FURAHIA HABARI NA MATUKIO KILA WAKATI.

Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona matokeo na ratiba ligi zote kubwa Duniani.

APP HII PIA INAKUSOGEZEA

👉HABARI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA
👉HABARI ZA MICHEZO NA USAJILI
👉BREAKING NEWS
👉ELIMU NA AFYA
👉KUTAZAMA MECHI MUBASHARA
👉TAARIFA YA HABARI NA VIPINDI MBALIMBALI
👉MAPENZI NA MAHUSIANO
👉AUDIOS MPYA KILA SIKU
👉BURUDANI
👉MAISHA
👉AJIRA MPYA KILA SIKU
👉GOSPEL
👉MAKALA.

BOFYA 👉👉👉 HAPA KUDOWNLOAD BURE

telegram Nijuze Habari

Tags: , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.