telegram Nijuze Habari

TAARIFA Mpya kutoka Simba SC leo Ijumaa February 18,2022

Filed in Michezo by on 18/02/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

TAARIFA Mpya kutoka Simba SC leo Ijumaa February 18,2022

Simba SC, Simba, Simba Sports Club, Msimbazi Dar es salaam, Simba SC vs US Gendarmerie Nationale, CAF Confederation Cup, Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Kombe la Shirikisho, RB Berkane, ASES Mimosas, Simba Nguvu Moja, Simba Tanzania, Simba SC Tanzania, Ligi Kuu Tanzania Bara, NBC Premier League.

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wanatajiwa kuondoka nchini leo Ijumaa February 18,2022 kuelekea Niger kwa ajiliya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Gendarmerie Nationale.

Huo utakuwa mchezo wa pili kundi D ambao unatarajiwa kupigwa Jumapili, February 20,2022 saa moja usiku kwa saa za hapa Tanzania.

Kwenye Mchezo wa Kwanza wa hatua hiyo ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Simba SC walianza vyema baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, ASEC Mimosas, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema timu itaondoka jijini Dar es salaam jioni ya leo

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *