Nijuze Habari

TAARIFA mpya kutoka Yanga SC June 27,2022

Filed in Usajili by on 27/06/2022 0 Comments

Stephane Aziz Ki Yanga SCAFISA Habari wa Klabu ya Young Africans SC, Hassan Bumbuli amedokeza kuwa kiungo Mshambuliaji Stephane Aziz Ki anaweza kutambulishwa siku ya Jumatano kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

Nijuze Habari Application

TAARIFA mpya kutoka Yanga SC June 27,2022

Stephane Aziz Ki Yanga SCAFISA Habari wa Klabu ya Young Africans SC, Hassan Bumbuli amedokeza kuwa kiungo Mshambuliaji Stephane Aziz Ki anaweza kutambulishwa siku ya Jumatano kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

  • DOWNLOAD APP YETU HAPA BURE 

Mkataba wa Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso mwenye umri wa miaka 26 na ASEC Mimosas ya Ivory Coast unatarajiwa kumalizika June 28, 2022 na kuanzia May 29, 2022 Aziz Ki atakuwa mchezaji huru ambapo Young Africans wanaweza kumtangaza kana mchezaji wao mpya.

Stephane Aziz Ki Yanga SC“Kutegemea na taratibu za safari yake kutoka Ivory Coast, Aziz Ki tunaweza kuwa nae uwanjani siku ya Jumatano katika mchezo wetu dhidi ya Mtibwa Sugar FC”

“Sio yeye tu hata Kambole (Lazarus) tulimpa ruhusa kurejea Zambia baada ya kukamilisha taratibu za usajili lakini tumeandaa utaratibu maalum wa kuwatambulisha wachezaji wote tunaowasajili,” amesema Bumbuli

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.