Nijuze Habari

TAARIFA mpya kutoka Yanga SC June 30 2022

Filed in Michezo by on 30/06/2022 0 Comments

TAARIFA mpya kutoka Yanga SC June 30,2022KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga imesogeza mbele muda chaguzi za matawi ya klabu hiyo hadi July 04,2022 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mabingwa hao Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu wa 2021/2022.

Nijuze Habari Application

TAARIFA mpya kutoka Yanga SC June 30,2022

TAARIFA mpya kutoka Yanga SC June 30,2022KAMATI ya Uchaguzi ya Yanga imesogeza mbele muda chaguzi za matawi ya klabu hiyo hadi July 04,2022 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mabingwa hao Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu wa 2021/2022.

Taarifa kutoka Klabu hiyo imesema kuwa kamati ya Uchaguzi ya Yanga SC inawatangazia Wanachama wote kwamba imeongeza muda hadi tarehe 04 mwezi Julai 2022 kwa matawi yote nchini kuendelea kufanya uchaguzi wa viongozi wa matawi kwa mujibu wa katiba ya Yanga.

Nyongeza hii ya muda ni kutoa fursa kwa matawi yaliyokuwa katika hatua za mwisho kukamilisha chaguzi zao na kuhakikisha wanatuma taarifa za Uchaguzi kwa maana ya orodha ya Viongozi waliochaguliwa, mawasiliano yao pamoja na muhtasari wa kikao cha uchaguzi kwenye ofisi ya Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Yanga.

Taarifa hizo zitumwe kwa anuani za barua pepaza yanga ambazo ni info@yangasc.co.tz pamoja na office yangasc@gmail.com.

Uchaguzi wa Matawi Yanga SC

UNAWEZA PIA KUSOMA PIA👇

DOWNLOAD APP MPYA YA NIJUZE HABARI BURE HAPA

UPATE KUTAZAMA MECHI LIVE, MAGAZETI YA KILA SIKU ASUBUHI PAMOJA NA HABARI NYINGINE NYINGI.

TEMBEA NA DUNIA MKONONI MWAKO UKIWA NA APP HII, FURAHIA HABARI NA MATUKIO KILA WAKATI.

Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona matokeo na ratiba ligi zote kubwa Duniani.

APP HII PIA INAKUSOGEZEA

👉HABARI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA
👉HABARI ZA MICHEZO NA USAJILI
👉BREAKING NEWS
👉ELIMU NA AFYA
👉KUTAZAMA MECHI MUBASHARA
👉TAARIFA YA HABARI NA VIPINDI MBALIMBALI
👉KUSIKILIZA RADIO ONLINE
👉KUCHECK MOVIE (KIX CHANNEL, MAISHA MAGIC BONGO, MAISHA MAGIC EAST N.K)
👉 KUCHECK MIELEKA (WWE)
👉MAPENZI NA MAHUSIANO
👉AUDIO MPYA KILA SIKU
👉 AJIRA MPYA KILA SIKU
👉GOSPEL
👉MAKALA.

BOFYA 👉👉👉 HAPA KUDOWNLOAD BURE

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.