Nijuze Habari App

Tag: CAF Confederation Cup

TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024

Filed in Michezo, New by on 23/07/2023 0 Comments
TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024

TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024 TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024, Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limetangaza kufanyika kwa Droo ya hatua ya awali kwa Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, Julai 25, Jijini Cairo, Misri. Droo kwa upande wa Ligi ya Mabingwa […]

Continue Reading »

LIVE: Droo ya Robo Fainali CAF Champions League na CAF Confederation Cup 05 April 2023

Filed in Michezo by on 05/04/2023 0 Comments
LIVE: Droo ya Robo Fainali CAF Champions League na CAF Confederation Cup 05 April 2023

LIVE: Droo ya Robo Fainali CAF Champions League na CAF Confederation Cup 05 April 2023 Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza kuwa Droo ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho itafanyika Leo Jumatano tarehe 05 Aprili 2023 mjini Cairo, Misri saa 20h30 kwa saa za huko Misri (18h30 GMT na […]

Continue Reading »

TIMU 8 zilizofuzu Robo Fainali CAF Champions League 2022/2023

Filed in Michezo by on 03/04/2023 0 Comments
TIMU 8 zilizofuzu Robo Fainali CAF Champions League 2022/2023

TIMU 8 zilizofuzu Robo Fainali CAF Champions League 2022/2023 DROO ya Robo Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na kombe la Shirikisho, inatarajiwa kufanyika Jumatano ya April 05, 2023 Jijini Cairo, Misri. Kuelekea droo hiyo, timu 8 kutoka Mataifa 6 ya Afrika zimefuzu hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF […]

Continue Reading »

Yanga kuifuata US Monastir Leo, CAF Confederation Cup

Filed in Michezo by on 07/02/2023 0 Comments
Yanga kuifuata US Monastir Leo, CAF Confederation Cup

Yanga kuifuata US Monastir Leo, CAF Confederation Cup Yanga vs US Monastir 12 February 2023, Yanga SC vs Monastir Kombe la Shirikisho Afrika, Young Africans vs US Monastir, Young Africans vs US Monastir, US Monastir vs Yanga SC CAF Confederation Cup, Yanga SC vs US Monastir. KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kusafiri leo kuelekea nchini Tunisia […]

Continue Reading »

KIKOSI Cha Simba SC vs Orlando Pirates, April 17,2022

Filed in Michezo by on 17/04/2022 0 Comments
KIKOSI Cha Simba SC vs Orlando Pirates, April 17,2022

KIKOSI Cha Simba SC vs Orlando Pirates, April 17,2022 Orlando Pirates Football Club is a South African professional football club based in the Houghton suburb of the city of Johannesburg and plays in the top-tier system of Football in South Africa known as Premier Soccer League, The team plays its home matches at Orlando Stadium […]

Continue Reading »

Matokeo Simba SC vs ASES Mimosas

Filed in Michezo by on 13/02/2022 0 Comments
Matokeo Simba SC vs ASES Mimosas

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Simba SC leo Jumapili February 13,2022 wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Bao la mapema lilijazwa kimiani na Pape Ousmane Sakho dakika ya 12 kwa pasi ya Shomari Kapombe lilidumu mpaka muda wa mapumziko. Kipindi cha pili ASEC […]

Continue Reading »

Ratiba Ya Simba SC CAF Confederation Cup 🏆

Filed in Michezo by on 28/12/2021 0 Comments
Ratiba Ya Simba SC CAF Confederation Cup 🏆

Ratiba Ya Simba SC CAF Confederation Cup 🏆 ➡️February 13,2022 Simba Sc vs ASEC Mimosas ➡️February 20,2022 US Gendarmerie Nationale vs Simba Sc ➡️February 27,2022 RS Berkane vs Simba SC ➡️March 13,2022 Simba SC vs RS Berkane ➡️March 20,2022 ASEC Mimosas vs Simba SC ➡️April 03,2022 Simba SC vz US Gendarmerie Nationale

Continue Reading »

Simba Warejea Dar es salaam

Filed in Michezo by on 07/12/2021 0 Comments
Simba Warejea Dar es salaam

KIKOSI cha Simba SC kimerejea salama Jijini Dar es Salaam kwaajili ya maandizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Young Africans SC Jumamosi hii ya December 11,2021 kwenye wa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Klabu hiyo ilikuwa Zambia tangu Ijumaa ambako walikwenda kwaajili ya mchezo dhidi […]

Continue Reading »

Matokeo Red Arrows vs Simba SC

Filed in Michezo by on 05/12/2021 0 Comments
Matokeo Red Arrows vs Simba SC

KLABU ya Simba kwa mara ya kwanza imefanikiwa kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup). Licha ya kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Red Arrows kwenye mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa, Jijini Lusaka Zambia Simba imefanikiwa kufuzu hatua hiyo ya makundi. Mabao ya Red Arrows yamefungwa na […]

Continue Reading »

Matokeo Simba SC vs Red Arrows November 28,2021

Filed in Michezo by on 28/11/2021 0 Comments
Matokeo Simba SC vs Red Arrows November 28,2021

KLABU ya Simba SC imejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kucheza hatua ya makundi Kombe la […]

Continue Reading »