Nijuze Habari App

TAMISEMI Yatangaza Ajira mpya za Afya July 2023

Filed in Ajira, Michezo, New by on 10/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

TAMISEMI Yatangaza Ajira mpya za Afya July 2023

TAMISEMI Yatangaza Ajira mpya za Afya July 2023,Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 77 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati.

Hivyo, wahitimu kutoka kwenye Vyuo vya Afya vinavyotambuliwa na Serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia tarehe 09 – 22 Julai, 2023.

Nafasi za ajira zilizopo ni kwa wahitimu wa stashahada (Diploma).

TARATIBU ZA KUOMBA AJIRA KADA ZA AFYA

Wataalamu wa Kada za Afya wenye sifa wanatakiwa kufuata utaratibu ule ule wa kutuma maombi kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha ajira.tamisemi.go.tz.

Waombaji ambao waliowahi kutuma maombi yao awali kupitia mfumo huu wanatakiwa kuhuisha taarifa zao na barua za maombi.

Wataalamu wa Kada za Afya wenye sifa wanatakiwa kutuma maombi kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha ajira.tamisemi.go.tz. Waombaji ambao waliwahi kutuma maombi yao awali kupitia mfumo huu wanatakiwa kuhuisha (update) taarifa zao na barua za maombi.

Sifa za Kitaaluma za Waombaji wa Kada za Afya

1.Fundi Sanifu Vifaa Tiba Daraja la II – TGHS B

  • Waombaji wawe na Stashahada ya kawaida ya Ufundi (Full Technician Certificate) ya miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

2:Fiziotherapia/Mtoa Tiba kwa Vitendo Daraja la II

  • Waombaji wawe na Stashahada ya Fiziotherapia/ Mtoa tiba kwa Vitendo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

TAMISEMI Yatangaza Ajira mpya za Afya July 2023, TAMISEMI Ajira Mpya za Afya 2023,Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Julai 2023,Majina Ya Ajira Mpya Afya 2022/2023| Download PDF,Afya 2023/2024 Download PDF,Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu July 2023,Ajira Wizara Ya Afya 2023 PDF,Majina Ya Ajira Mpya Afya 2023,ajira.tamisemi.go.tz 2023,ajira za afya 2023/2024,TAMISEMI Ajira za Afya,PDF Tamisemi Ajira za walimu 2023/2024 na Ajira kada za kada ya Afya,PDF | Majina Ya Ajira Mpya WALIMU na AFYA 2023 - DOWNLOAD,Majina ajira za afya Tamisemi 2023,Ajira mpya afya Tamisemi | Jobs in Tanzania,Tangazo la Ajira TAMISEMI 2023 PDF.MASHARTI YA JUMLA YA WAOMBAJI WA KAZI

Waombaji wote wanatakiwa kuwa na sifa za jumla kama ifuatavyo:

  • Awe raia wa Tanzania;
  • Awe na umri usiozidi miaka 45;
  • Awe na vyeti kamili vya mafunzo ya fani aliyosomea (Cheti cha Kidato cha Nne, Sita pamoja na cheti cha Taaluma na usajili kamili (Full Registration) au Leseni hai ya kufanya kazi ya taaluma husika)
    Asiwe Mwajiriwa wa Serikali au Mwajiriwa wa Hospitali za Mashirika ya Dini ambaye mshahara wake unalipwa na Serikali.
  • Waombaji walioajiriwa kwa mkataba wa ajira kutoka kwa Wadau wa Maendeleo katika Sekta ya Afya wanatakiwa kuambatisha nakala za mkataba na barua za uthibitisho kutoka kwa Wakurugenzi wa Halmashauri husika;
  • Awe hajawahi kufukuzwa, kuacha kazi au kustaafishwa katika Utumishi wa Umma;
  • Awe na Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
    Aambatishe nakala ya cheti cha kuzaliwa.

TAMISEMI AJIRA ZA AFYA MPYA JULAI 2023 DOWNLOAD PDF

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI WOTE

  • Waombaji wote wawe tayari kufanya kazi katika Halmashauri/Vituo watakavyopangiwa;
  • Waombaji wawe tayari kufanya kazi na Mashirika au Taasisi zilizoingia Ubia na Serikali.
  • Baada ya kupangiwa kituo cha kazi, hakutakuwa na nafasi ya
    kubadilishiwa kituo cha kazi.
  • Waombaji wote wahakikishe wanajaza taarifa zao na kuambatisha nyaraka zote muhimu kwenye mfumo; na
  • Maombi ya ajira ni bure.

KWA WAHITIMU WALIOSOMA NJE YA NCHI

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
  • Waombaji wote waliosoma Elimu ya Sekondari nje ya nchi wanatakiwa kupata Namba ya Ulinganifu wa Matokeo (Equivalent Number) inayoanza na Herufi EQ… kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania ili kuwawezesha kuingia kwenye Mfumo wa Ajira; na
  • Waombaji waliosoma Vyuo vya Nje ya Nchi wanatakiwa kupata Ithibati ya masomo yao kutoka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ili vyeti vyao viweze kutambuliwa na kupata uhalali wa kutumika hapa nchini.
MAELEKEZO.
  • Tafadhali chagua aina ya maombi ya ajira kama ni AFYA au ELIMU
  • Kama ni muombaji mpya bofya kiunganishi cha juu kulia “Jisajili” kuanza kuomba
  • Ingiza namba ya NIDA au barua pepe kama jina la mtumiaji na uingize nywila yako kuingia ndani ya mfumo.
  • Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho
  • Maombi yasiyokamilika hayatafanyiwa kazi
  • Hakikisha kabla ya kutuma maombi umesoma na kuelewa vizuri tangazo lilotolewa
  • Hakikisha vyeti ulivyo ambatanisha vinasomeka vizuri
  • Kuwasilisha taarifa za kughushi zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako
  • Bofya hapa ili ujisajili kwa ajili ya kutuma maombi

Kwa Msaada
Tafadhali piga simu huduma kwa mteja 026-2160210 au 0735-160210

Waombaji wenye Ulemavu na sifa zilizoainishwa katika tangazo hili watume maombi yao pia kupitia mfumo.

Aidha, maombi yao yaeleze aina ya ulemavu alionao na kuambatisha picha na uthibitisho wa daktari kutoka katika hospitali za Serikali.

Maombi yoyote yatakayowasilishwa kwa njia ya posta au kuletwa moja kwa moja Ofisi ya Rais TAMISEMI hayatafanyiwa kazi.

Aidha, waombaji watambue kuwa ukishapangiwa kituo hauruhusiwi kuhama au kubadilisha kituo kwa muda wa miaka mitatu.

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 22 Julai, 2023 saa 05:59 usiku.

TAMISEMI Yatangaza Ajira mpya za Afya July 2023, TAMISEMI Ajira Mpya za Afya 2023,Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu Julai 2023,Majina Ya Ajira Mpya Afya 2022/2023| Download PDF,Afya 2023/2024 Download PDF,Orodha ya Majina ya Waliopata Ajira Kada za Afya na Elimu July 2023,Ajira Wizara Ya Afya 2023 PDF,Majina Ya Ajira Mpya Afya 2023,ajira.tamisemi.go.tz 2023,ajira za afya 2023/2024,TAMISEMI Ajira za Afya,PDF Tamisemi Ajira za walimu 2023/2024 na Ajira kada za kada ya Afya,PDF | Majina Ya Ajira Mpya WALIMU na AFYA 2023 – DOWNLOAD,Majina ajira za afya Tamisemi 2023,Ajira mpya afya Tamisemi | Jobs in Tanzania,Tangazo la Ajira TAMISEMI 2023 PDF.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *