Tanzania yaomba kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


Tanzania yaomba kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027

Tanzania yaomba kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiaa na Kenya na Uganda kupitia Pamoja Bid wamedhamiria kuwa mwenyeji wa michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (African Cup of Nations) 2027.
Rais Samia amesema nchi hizo zinawania nafasi hiyo kwa kutambua mafanikio makubwa ambayo Sekta ya Michezo imepata, hivyo kuwa wenyeji wa AFCON 2027 kutaongeza hamasa zaidi kwa ukuaji wa michezo hususan soka.
Pichani ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea andiko la ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji wa AFCON 2027, kutoka kwa Rais wa TFF Wallace Karia pamoja na Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Aidha, Rais Samia amesema michuano hii itachangia katika ukuaji wa utalii kwa kuwa ni mashindano ambayo hutazamwa na zaidi ya watu bilioni moja Barani Afrika na maeneo mengi Duniani kwa ujumla.

Tanzania yaomba kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027
Vile vile, Rais Samia amesema mashindano hayo yataleta watu mashuhuri nchini wenye ushawishi Duniani hivyo huwezesha na kunufaisha sekta nyingi za uchumi ambapo huchangia ajira, mapato kwa wafanyabiashara na serikali.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akipokea Fulana iliyokabidhiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo Mhe. Balozi Pindi Chana, wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda kuwa mwenyeji wa AFCON mwaka 2027, kwenye Hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma
Kwa upande mwingine Rais Samia amesema Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, imeshafanya utafiti na kuandaa mpango mkakati wa utekelezaji wa maandalizi ya kuwa mwenyeji wa mashindano hayo.
Mashindano ya AFCON yataweka rekodi kwa mara ya kwanza kufanyika katika Ukanda wa Afrika Mashariki tangu yalipoanzishwa rasmi mwaka 1957.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Fulana iliyokabidhiwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa, na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma, wakati wa kukabidhi andiko la Ombi la Tanzania, Kenya na Uganda

Tanzania yaomba kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027
Kenya, Tanzania, and Uganda submitted a Joint Bid to host the 2027 Africa Cup of Nations. In the “Pamoja” proposal, Kenya has joined forces with its neighbors Tanzania and Uganda to bring the continental Africa Cup of Nations to East Africa for the first time ever.
The joint bid for Kenya, Tanzania and Uganda will be up against three other bids of Algeria, Botswana, and Egypt, who have also expressed interest in hosting the 2027 Africa Cup of Nations.
Tanzania yaomba kuwa Mwenyeji wa AFCON 2027
For the three East African countries to successfully win the proposal to host the biggest football competition on the continent, the President of Kenya William Ruto asked for collaboration from his counterparts from Tanzania and Uganda.
“We hope that our joint bid will inspire all of our sides to perform above and beyond their previous accomplishments,” continued H.E Ruto.
“We also intend to launch a compelling bid that will succeed in winning us this critical opportunity to make Kenya, Uganda, and Tanzania the epicentres of regional and continental footballing resurgence,” he added.
Confederation of African Football (CAF) verified receiving offers from Uganda, Kenya, and Tanzania to host the 2027 Africa Cup of Nations.
Final bids for Member Associations will be accepted on May 23, 2023, and inspection visits will take place from June 1 to July 15, 2023.
The final bidding documents that CAF looks at include; The hosting agreement, host cities agreement, government guarantees, and other bid documents, which should all be properly signed.
According to the assessment on stadium standards published by CAF in February, the National Stadium in Dar es Salaam is the only venue in all East Africa that is currently capable of hosting continental matches.
CAF stipulates that the locations of any nation hosting its games must be close to an airport, it must also be near to a level 5 hospital and a five-star hotel. Additionally, each location must have three top-notch training facilities nearby.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.