Nijuze Habari

TANZIA: Msanii Erick Afariki Dunia

Filed in Michezo by on 17/08/2022 0 Comments

TANZIA: Msanii Erick Afariki DuniaMsanii maarufu wa vichekesho, Zabogan Zabron maarufu kama Erick ‘Hivyo hivyo’ amefariki dunia.

Nijuze Habari Application

TANZIA: Msanii Erick Afariki Dunia

TANZIA: Msanii Erick Afariki DuniaMsanii maarufu wa vichekesho, Zabogan Zabron maarufu kama Erick ‘Hivyo hivyo’ amefariki dunia.

Taarifa zilizothibitishwa na msanii mwenzake wa vichekesho, Tiny White, zinaeleza kuwa msanii huyo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Tiny White amesema kuwa asubuhi ya leo alipigiwa simu na ndugu wa karibu wa Erick na kumpa taarifa za kifo chake.

TANZIA: Msanii Erick Afariki DuniaAmeeleza kuwa Erick alikuwa mgonjwa ambapo hapo jana aliwasiliana naye na kumueleza kuwa alikuwa amevimba mwili mzima.TANZIA: Msanii Erick Afariki Dunia

Erick amefariki dunia akiwa nyumbani kwao, Kibaha mkoani Pwani.

PAKUA/Download App ya Nijuze Habari Kutazama LIVE/Mubashara (Simba SC vs Geita Gold FC)

Download/Pakua Bure hapa chini Kutazama kiganjani mwako Kuanzia saa 12:15 Jioni.

Pakua hapa👉👉👉 🤳

telegram Nijuze Habari

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.