Nijuze Habari App

TETESI na Usajili Ligi Kuu Tanzania Bara

Filed in Usajili by on 05/01/2022 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

KLABU ya Young Africans SC, imedaiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji Mosses Phiri raia wa Zambia mwenye umri wa miaka 28 kwa mkataba wa miwili kutoka Zanaco FC ya Zambia.

Klabu ya Young Africans SC imemtambulisha rasmi Mshambuliaji Crispin Ngushi kuwa mchezaji wa timu hiyo kutoka Mbeya Kwanza ya Jijini Mbeya.

Klabu ya Namungo FC, imekamilisha Usajili Nyota wa kutoka Azam Academy aliyekiwasha pia kwenye Serengeti Boys ya Kelvin John kabla ya kusajiliwa Stade Malien ya nchini Mali Agiri Ngoda ambapo yupo Visiwani Zanzibar akiwa sehemu ya usajili mpya wa Klabu hiyo.

Timu ya Kitayosce FC ya Tabora inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (Championship) imekamilisha Usajili wa wachezaji wawili ambao ni Kiungo Mcongo Papy Kabamba Tshishimbi na Michael Chinedu.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Mshambuaji raia wa Nigeria Udoh Etop David mwenye umri wa miaka 22 yupo Visiwani Zanzibar na klabu ya Simba kwaajili ya Majaribio.

Kiungo Mshambuliaji Moukoro Cheick Ahmed Tenena kutoka Ivory Coast mwenye umri wa miaka 30 ambaye yupo Visiwani Zanzibar kwaajili ya a Majaribio kwenye Klabu ya Simba SC hapo awali amezitumikia Klabu za ASEC Mimosas ya kwao Ivory Coast na Al-Hilal ya Sudan.

Zingine ni Al-Hilal Obeid za Sudan pia, El Masry SC ya Misri, Raja Casablanca ya Morocco, Shoalah FC ya Saudi Arabia na Al-Zawraa SC ya Iraqi.

Uongozi wa Klabu ya Simba SC umetajwa kumalizana na kiungo wa kimataifa wa Zambia na Klabu ya RS Berkane ya Morocco, Clatous Chama mwenye umri wa miaka 30 kilichobaki ni kutangazwa kama Mchezaji wao kabla ya dirisha dogo la Usajili Tanzania Bara kufungwa January 15,2022.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *