Nijuze Habari App

Tetesi na Usajili uliokamilika Tanzania Bara

Filed in Usajili by on 08/01/2022 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Uongozi wa klabu ya Simba umempa taarifa kocha wao mkuu Pablo Franco Martin kuwa nafasi ya Duncan Nyoni aliyeondoka Simba itachukuliwa na Clatous Chama ambaye muda wowote anatarajia kutambulishwa kuwa mchezaji wa Klabu hiyo.

Klabu ya Geita Gold FC imekamilisha Usajili wa beki kisiki, Kelvin Patrick Yondani ‘VIDIC’, mwenye umri wa miaka 37 kwa mkataba wa mwaka mmoja na kama mchezaji huru, ukiwa ni usajili wa saba wa Geita Gold sasa kuelekea kufungwa kwa dirisha dogo la usajili.

Aliyewahi kuwa Kocha mkuu wa Mtibwa Sugar na kocha msaidizi wa Simba SC, Thiery Hitimana amejiunga na klabu ya KMC FC Kama kocha mkuu wa Klabu hiyo.

Klabu ya Geita Gold imekamilisha Usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa DR Congo Erick Yema mwenye umri wa miaka 29 kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Mshambuliaji wa zamani wa Coastal Union Mdathir Said amejiunga na klabu ya Tanzania Prisons FC Taifa Jang’ombe ya Visiwani Zanzibar.

Baada ya kuondoka katika Klabu ya Biashara United, Kocha Patrick Adhiambo amajiunga na Tanzania Prisons kama kocha mkuu wa timu hiyo.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Klabu ya Mtibwa Sugar FC imekamilisha Usajili wa Kocha Salum Mayanga kutoka Tanzania Prisons FC kama kocha Mkuu wa Klabu hiyo ya Morogoro.

Mshambuliaji wa zamani wa Mwadui FC Aboubakal Malika amejiunga na Tanzania Prisons kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Klabu ya Simba SC, imeachana na wachezaji wake wawili, ambao ni Duncan Nyoni na AbdulSamad Kassim kwa makubaliano ya pande mbili huku Jeremiah Kisubi akitolewa kwa mkopo kwenda klabu ya Mtibwa Sugar FC.

Klabu hiyo pia ilishaachana na Kiungo Ibrahim Ajibu ambaye amejiunga na Klabu ya Azam FC.

Hatma ya wachezaji watatu (Moukoro Tenena, Sharaf Shiboub, Udoh Etop David) wanaofanya majaribio ameachiwa kocha Pablo kuamua iwapo ataona wanafaa anaweza kuwasajili ila anatakiwa kupendekeza wachezaji wa kimataifa watakaoachwa.

Klabu hiyo kwa sasa ina jumla ya wachezaji 11 wa kimataifa ambao ni Joash Onyango, Pascal Wawa, Henock Inonga Varane, Taddeo Lwanga, Rally Bwalya, Sadio Kanoute, Benard Morrison, Papy Sakho, Peter Banda, Meddie Kagere na Chris Mugalu.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *