Nijuze Habari App

TETESI: Nabi anaondoka Yanga

Filed in Michezo, New, Usajili by on 14/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

TETESI: Nabi anaondoka Yanga

TETESI: Nabi anaondoka Yanga

TETESI: Nabi anaondoka Yanga

TETESI: Nabi anaondoka Yanga, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Nasredine Nabi amefikia makubaliano na uongozi wa Yanga kutoendelea kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo yenye makazi yake Mtaa wa Jangwani Jijini Dar es salaam.

Aidha taarifa za ndani zinadai kuwa Nabi na bechi lake la ufundi kwa pamoja wanatarajiwa kujiunga na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

Wakati Kocha huyo anaondoka Yanga, taarifa zinadai kuwa Cedric Kaze yupo mbioni kujiunga na Singida Fountain Gate FC.

Kaizer Chiefs ambayo imeshindwa kutamba katika soka la Afrika Kusini miaka kadhaa imepanga kumuajiri Kocha huyo Mtunisia, huku ikipanga kuachana na Kocha wao wa sasa Arthur Zwane.

TETESI: Nabi anaondoka Yanga

TETESI: Nabi anaondoka Yanga

Taarifa zilizoripotiwa kutoka Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini SABC zinaeleza kuwa Uongozi wa Klabu hiyo upo katika mazungumzo na wawakilishi wa Nasreddine Nabi mwenye umri wa miaka 57.

Mazungumzo kati ya pande hizo mbili yanayoendelea sasa ni kuhusu makubaliano binafsi ya Kocha huyo, ambaye atakuwa huru kunzia mwezi Julai, baada ya mkataba wake na Young Africans Africans kufikia tamati.

Inaelezwa kuwa Amakhosi wamefanya haraka kujaribu kupata huduma ya Kocha huyo, baada ya kuthibitishwa kuwa alikuwa na nia ya kuondoka Young Africans baada ya kipindi kingine cha mafanikio, ambacho kimehitimishwa kwa mataji matatu mfululizoz huku akiifikisha Young Africans Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *