Nijuze Habari

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Alhamisi August 25,2022

Filed in Michezo by on 25/08/2022 0 Comments

Tetesi za Usajili Ulaya Leo, Tetesi za Usajili Ulaya, Tetesi za Usajili Barani Ulaya, Tetesi za Usajili, Usajili Ulaya, Usajili Ulaya Leo, Usajili Barani Ulaya, Dondoo na Tetesi za Usajili Ulaya, Dondoo za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Barani Ulaya, Nijuze Habari za Usajili, Nijuze Habari za Michezo, Nijuze Habari Kwenye Usajili, Nijuze Habari za Usajili Ulaya.

Nijuze Habari Application

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Alhamisi August 25,2022

Tetesi za Usajili Ulaya Leo, Tetesi za Usajili Ulaya, Tetesi za Usajili Barani Ulaya, Tetesi za Usajili, Usajili Ulaya, Usajili Ulaya Leo, Usajili Barani Ulaya, Dondoo na Tetesi za Usajili Ulaya, Dondoo za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Barani Ulaya, Nijuze Habari za Usajili, Nijuze Habari za Michezo, Nijuze Habari Kwenye Usajili, Nijuze Habari za Usajili Ulaya.

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Alhamisi August 25,2022KLABU ya Lecce inayoshiriki ligi kuu ya Italia “Serie A” imethibitisha kukamilisha usajili wa Beki wa Barcelona Samuel Umtiti kwa mkopo.

Jana usiku Alexander Isak aliwasili nchini Uingereza kwaajili ya kukamilisha taratibu za uhamisho wake wa kwenda Newcastle Kwa ada ya €70m + €5m akitokea Real Sociedad. (chanzo: Fabrizio Romano)

PSG wamewasilisha ofa ya kiasi cha €70m kwa Manchester City ili kumnunua Bernardo Silva. (Chanzo: lequipe)

Vilabu vya Southampton na Bournemouth vinawinda saini ya kiungo wa Arsenal Ainsley Maitland-Niles. (Chanzo: Sky Sports)

Klabu ya Sampdoria iliwasilisha ombi la kutaka kumsajili Harry Winks, lakini kiungo huyo wa kati wa Tottenham Hotspur anapendelea kusalia Uingereza, huku Nottingham Forest na Southampton zikionesha nia ya kutaka huduma yake (Chanzo: Evening Standard)

kwa mujibu wa Redio ya Catalunya imeripoti kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Frenkie De Jong kuendelea kusalia Katika Klabu yake ya Barcelona.

Karim Benzema tayari ameshasaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Real Madrid utakaomalizika hadi Juni 2024. (Chanzo: Marca)

Baada ya Jana kutofikia makubaliano Vilabu vya Chelsea na Barcelona leo vitaendelea na mazungumzo ili kufikia muafaka wa usajili wa Pierre-Emerick Aubameyang. (Chanzo: Fabrizio Romano)

Liverpool ina mpango wa kutuma ofa kwenda Barcelona kwaajili ua kumnunua kiungo wa kati Frenkie de Jong. (Via: Futbol Total)

Serge Aurier amekubali kujiunga na Nottingham Forest akitokea Villarreal. (Chanzo: Santi Aouna)

Klabu ya Middlesbrough imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kati Matt Clarke kutoka Brighton kwa mkataba wa miaka mitatu.

Klabu ya America imekamilisha winga Brian Rodriguez kutoka LAFC kwa Ada ya $7m.

Sunderland imethibitisha kumsajili winga Jewison Bennette akitokea klabu ya Costa Rica CS Herediano kwa mkataba wa miaka minne.

Mshambuliaji wa Sporting CP Islam Slimaniamejiunga na Brest kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Klabu ya Al Ahli ya Saudi Arabia imemsajili Mshambuliaji wa zamani wa Nottingham Forest Lewis Grabban kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Klabu ya Celtic imemsajili winga Sead Haksabanovic kutoka Rubin Kazan kwa Ada ya £2.25m, winga huyo amesaini kandarasi ya miaka mitano.

Tetesi za Usajili Ulaya Leo, Tetesi za Usajili Ulaya, Tetesi za Usajili Barani Ulaya, Tetesi za Usajili, Usajili Ulaya, Usajili Ulaya Leo, Usajili Barani Ulaya, Dondoo na Tetesi za Usajili Ulaya, Dondoo za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Barani Ulaya, Nijuze Habari za Usajili, Nijuze Habari za Michezo, Nijuze Habari Kwenye Usajili, Nijuze Habari za Usajili Ulaya.

telegram Nijuze Habari

Tags: , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.