LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Alhamisi tarehe 27 April 2023

Filed in Usajili, Michezo by on 27/04/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Alhamisi tarehe 27 April 2023

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Alhamisi tarehe 27 April 2023,Habari za man united za leo,Usajili wa Arsenal 2023,Tetesi za usajili ulaya liverpool,Bbc swahili michezo leo asubuhi,Tetesi za usajili ulaya leo 2023,Usajili ulaya Man united,Tetesi za usajili arsenal leo,Bbc tetesi za usajili,Tetesi za Usajili Tanzania,Mwanaspoti tetesi za usajili leo,Tetesi za Usajili Yanga,Usajili Man United 2022/2023,Tetesi za usajili Simba,Tetesi za usajili ulaya leo 2023 bbc,Usajili ulaya Man united.

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Alhamisi tarehe 27 April 2023

VILABU vya Arsenal, Tottenham na Newcastle vinavutiwa na Mshambuliaji wa Brazil, Raphinha mwenye umri wa miaka 26, ambaye Barcelona inaweza kumuuza ili kupata pesa za kumnunua tena mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi mwenye umri wa miaka 35 kutoka Paris St-Germain. (AS – kwa Kihispania)

Klabu ya Aston Villa inavutiwa na kiungo wa kati wa Arsenal na Uingereza Emile Smith Rowe mwenye umri wa miaka 22 ambaye amekosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha The Gunners. (Football 365)

Klabu ya Manchester United inataka kumsajili Mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane mwenye umri wa miaka 29, lakini haiko tayari kuhusika katika mvutano wa muda mrefu kuhusu ada ya uhamisho wake na Tottenham Hotspur.

United pia ina nia ya kumsajili mlinda lango wa Dinamo Zagreb kutoka Croatia Dominik Livakovic mwenye umri wa miaka 28, huku mkataba wa David de Gea ukimalizika msimu huu. (Jutarnji, kupitia Football 365)

Kocha Mauricio Pochettino hamtumii wakala wakati anapojadiliana kuhusu kuteuliwa kwake kama kocha Mkuu mtarajiwa wa Chelsea. (Telegraph – usajili unahitajika)

Kipa wa Uhispania David Raya na Mshambuliaji wa Uingereza Ivan Toney wenye umri wa mika 27, wanafuatiliwa na Chelsea kwaajili ya uhamisho wa majira ya joto kutoka Brentford. (Football London)

Klabu ya Chelsea inatazamiwa kukutana na Inter Milan kujadili mustakabali wa Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku mwenye umri wa miaka 29, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo katika klabu hiyo, pamoja na uwezekano wa kumsajili mlinda lango wa Cameroon Andre Onana mwenye umri wa miaka 27. (Evening Standard )

Liverpool inaweza kutumia pesa nyingi kumnunua kiungo wa kati wa Inter Milan na Italia, Nicolo Barella mwenye umri wa miaka 26, licha ya kukataa kumsajili kiungo wa kati wa Uingereza Jude Bellingham mwenye umri wa miaka 19 msimu huu kwa sababu ya bei ya juu kutoka Borussia Dortmund. (Sport Mediaset kupitia Express)

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Alhamisi tarehe 27 April 2023,Habari za man united za leo,Usajili wa Arsenal 2023,Tetesi za usajili ulaya liverpool,Bbc swahili michezo leo asubuhi,Tetesi za usajili ulaya leo 2023,Usajili ulaya Man united,Tetesi za usajili arsenal leo.

Bbc tetesi za usajili,Tetesi za Usajili Tanzania,Mwanaspoti tetesi za usajili leo,Tetesi za Usajili Yanga,Usajili Man United 2022/2023,Tetesi za usajili Simba,Tetesi za usajili ulaya leo 2023 bbc,Usajili ulaya Man united.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *