LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumamosi tarehe 29 April 2023

Filed in Michezo, New, Usajili by on 29/04/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumamosi tarehe 29 April 2023

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumamosi tarehe 29 April 2023,Habari za man united za leo,Usajili wa Arsenal 2023,Tetesi za usajili ulaya liverpool,Bbc swahili michezo leo asubuhi,Tetesi za usajili ulaya leo 2023,Usajili ulaya Man united,Tetesi za usajili arsenal leo,Bbc tetesi za usajili,Tetesi za Usajili Tanzania,Mwanaspoti tetesi za usajili leo,Tetesi za Usajili Yanga,Usajili Man United 2022/2023,Tetesi za usajili Simba,Tetesi za usajili ulaya leo 2023 bbc,Usajili ulaya Man united.

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumamosi tarehe 29 April 2023

Mwenyekiti wa Spurs Daniel Levy ameshindwa kushawishika kwamba hatamuuza Kane kwenda Manchester United au Chelsea, huku Mashetani Wekundu wakiwa na mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen mwenye umri wa miaka 24, na Mshambuliaji wa Juventus na Serbia Dusan Vlahovic mwenye umri wa miaka 23, kwenye orodha ya wawachezaji mbadala endapo watamkosa Kane. (Daily Mail)

Klabu ya Chelsea inatafakari kuhusu mkataba wa mabadilishano ya wachezaji kwaajili ya kumpata mlindalango wa Inter Milan na Andre Onana mwenye umri wa 27, lakini Waitalia hawana nia na mlinda lango Kepa Arrizabalaga mwenye umri wa miaka 28. Hata hivyo wanamtamani mlinzi wa England Trevoh Chalobah mwenye umri wa miaka 23 na kiungo wa kati Ruben Loftus-Cheek mwenye umri wa miaka 27. (Gazzetta – in Italian)

Chelsea pia wangependelea kumuuza kiungo wa kati wa Croatia Mateo Kovacic mwenye umri wa 28, kwa klabu iliyo nje ya Primia Ligi huku Meneja wa zamani wa Klabu hiyo, Thomas Tuchel akiwa na nia ya kujiunga tena na Bayern Munich. (Evening Standard)

Mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe anajaribu kumshawishi mshambuliaji wa klabu ya Eintracht Frankfurt na mchezaji mwenzake katika timu ya Ufaransa, Randal Kolo Muani mwenye umri wa miaka  24 ajiunge na PSG msimu huu. (Christian Falk)

Mshambuliaji Mcanada Jonathan David mwenye umri wa 23, anatarajiwa kuondoka katika klabu ya Ufaransa ya Lille msimu huu, ambayo imezifahamisha klabu kadhaa mkiwemo Tottenham, Chelsea na Paris St-Germain. (L’Equipe)

Klabu ya Arsenal inaweza kuchukua hatua ya kusaini mkataba na Mshambuliaji MbelgijiLois Openda mwenye umri wa miaka 23, kutoka klabu ya Ufaransa ya Lens msimu huu, ingawa Aston Villa pia wako makini . (Daily Mail)

Klabu ya Everton inapanga kumnunua Mshambuliaji wa Stoke City, Tyrese Campbell mwenye umri wa miaka 23, msimu huu ingawa hawajui kama watabaki Ligi Kuu ya Primia . (Football Insider)

Vilabu vya Newcastle na Crystal Palace vinatarajia kushindwa kumsajili kiungo wa kati wa Rangers na Uskochi, Calum Adamson huku mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 15 akisaini mkataba wa kwanza wa kulipwa katika klabu ya Glasgow club. (Daily Record via Mirror)

Vilabu vya Arsenal, Newcastle na Aston Villa vyote kwa pamoja vinamuwinda kiungo wa safu ya kulia wa Real Valladolid Ivan Fresneda, 18. (90min.com)

Klabu ya Manchester United inatarajia kumsajili Mshambuliaji wa Paris-St Germain na Brazil, Neymar mwenye umri wa miaka 31, iwapo dau la Qatari bid, linaloongozwa na Sheikh Jassim, kwaajili ya klabu litafanikiwa. (Sun)

Kiungo wa kati wa Borussia Dortmund na England, Bellingham mwenye umri wa miaka 19 ameamua kujiunga na Real Madrid lakini mataba wake bado haujaisha na Madrid iko tayari kumlipa Euro milioni 120. (AS – in Spanish)

Klabu ya Tottenham inatarajia kupokea dau kutoka kwa Chelsea kwaajili ya mshambuliaji wa England, Harry Kane mwenye umri wa miaka 29, huku azma yao ya kumteua Mauricio Pochettino kama meneja ikiendelea kuongezeka (Talksport)

Mshambuliaji wa zamani wa Tottenham, Real Madrid na Wales, Gareth Bale mwenye umri wa miaka 33, amekataa ombi kutoka kwa wamiliki wa klabu ya Hollywoon Wrexham Ryan Reynolds na Rob McElhenney ya kujiunga na klabu mpya iliyopanda daraja katika kurejea kwao katika Ligi ya Soka . (Sky Sports)

Klabu ya Brighton inajianda kumsajili Mchezaji wa Liverpool, James Milner mwenye umri wa miaka 37, huku mkataba wa kiungo huyo wa kati wa England ukimalizika msimu huu. (The Athletic – subscription required)

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *